Natafuta Nyumba Arusha

Mary Chuwa

Senior Member
Feb 24, 2011
177
40
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF msaada wenu.
 
utapata yale mabanda ya udongo unadhani Arusha ni Dodoma:rain:
aksante Bw/Bi/Bibi hata hivyo hayo mabanda unayozungumzia ya kule Unga Ltd na kwingineko unapopafahamu Arusha,bei yake siyo laki moja hadi laki moja na nusu,na kila anayeweka tangazo siyo mgeni katika maeneo hayo najua zipo na anayefahamu kuna nyumba inapangishwa tafadhali naomba anijulishe,mimi ni mwenyeji kwahiyo maeneo mengi nayafahamu nikielekezwa
 
sawa mum,unataka maeneo gani exactly?pia kupata kwa urahisi ni lazma kumtumia dalali ambae pia utamlipa kodi ya mwezi mmoja anapokupatia nyumba
 
Wiselady,
Yule jamaa tuliekuwa nae juzi pale Lenana alisema kuna nyumba ambayo alikuwa anakaa yeye, na sasa amejenga yake...
Alisema iko eneo la Shamsi.
Mary Chuwa, tuendelee kuwasiliana, nitaongea na jamaangu fulani baadae, huenda tukafanikiwa!
Cheki na mimi basi kama vp!.
 
Wiselady,
Yule jamaa tuliekuwa nae juzi pale Lenana alisema kuna nyumba ambayo lalikuwa anakaa yeye, na sas amejenga yake...
Alisema iko eneo la Shamsi.
Mary Chuwa, tuendelee kuwasiliana, nitaongea na jamaangu fulani baadae, huenda tukafanikiwa!
Cheki na mimi basi .

Mkuu umenifurahisha sana na WL huo ndio moyo unaotakiwa wa kusaidiana badala ya kukatishana tamaa
 
Pande za sekei ipo lakini ni laki mbili na zipo tatu ndani ya geti moja. Upo tayari ku share compound? Jamaa bei nadhani inaweza ikashuka.
 
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF msaada wenu.

Heshima kwako Mary Chuwa.

Ni vizuri ukaweka mambo sawa mfano unapendelea maeneo yapi eg Sakina,Njiro na nk.Njiro unaweza kupata nyumba ya tsh 300,000/= self ya vyumba vitatu maeneo ya Tanesco,Kontena na Mionzi.Sakina zipo nyumba nyingi kuanzia kwa Lowasa mpaka kwa Iddi.Kuna mdau mmoja kasema unatakiwa kupitia kwa madalali lakini unatoa kodi ya mwezi mmoja.Si kweli kodi ya mwezi mmoja anatoa mwenye nyumba si mpangaji kwa hiyo usihofu kupitia kwa madalali.

Nitakuulizia nikipata yenye rooms mbili nitakujulisha usijali kodi ya mwezi mmoja sitadai.
 
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF msaada wenu.

Mimi naishi arusha naufahamu mji huu vizuri sana,ila kwa vitu ulivyo vitaja hapo juu na budget uliyotenga kwa ajili ya nyumba hapa a-town haupati,labda huko nje ya mji,....sikukatishi tamaa ila ndio ukweli wenyewe huo
 
utapata nyumba mami..watu wanaexagurate mambo. lakini unatakiwa uvute subira kwasababu itakuchukua muda kidogo kupata kwa bei hio. But eventually utapata. kama unaharaka basi kwa hio bei...mmmh..hapana! Labda uchukue self ya chumba (bedroom) kimoja.
Karibu Geneva of Africa
 
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF msaada wenu.

Jaribu kumuuliza mwenye namba hii kuna Apartment zake ziko stage ya finishing maeneo ya Silent Inn nyuma kidogo ya Super Market 0715 308 634
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom