NATAFUTA NYUMBA -ARUSHA 2Bedrooms, Sebule, Jiko Parking. 150,000/= pm

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
527
110
Great Thinkers,
Natafuta nyumba, ikiwa na vyumba 2 vya kulala, Sebule, Chooo, Jiko na Parking maeneo yeyote Arusha (preferably Njiro, Burka,Nane Nane, isiwe mbali sana na barabara kubwa.
 
Mwana JF, Arusha ni jiji la kimataifa sasa na nyumba ni ghali sana. Kwa sh. 150,000/= siyo rahisi kupata nyumba. Katika maeneo uliyotaja nyumba huanzia laki nne na kuendelea. Hivyo kama unahitaji nyumba kweli ongeza hilo dau utaona wengi watakuandikia.
 
Asante Mkuu Kwa Ushauri,,
Ingawa laki nne per month Kwa Mtanzania wa kawaida ni ngumu, naamini nyumba zipo mpaka 200,000/= to 250,000/= and less........Tatizo ni information tu kuzipata........now maisha ni magumu sana kwa watu wengi......ngoja tuone what will get out of this.. -----
Mwana JF, Arusha ni jiji la kimataifa sasa na nyumba ni ghali sana. Kwa sh. 150,000/= siyo rahisi kupata nyumba. Katika maeneo uliyotaja nyumba huanzia laki nne na kuendelea. Hivyo kama unahitaji nyumba kweli ongeza hilo dau utaona wengi watakuandikia.
 
Great Thinkers,
Natafuta nyumba, ikiwa na vyumba 2 vya kulala, Sebule, Chooo, Jiko na Parking maeneo yeyote Arusha (preferably Njiro, Burka,Nane Nane, isiwe mbali sana na barabara kubwa.

niliwahi kuwa huko,mzee sidhani kama chini ya laki tatu utapata!hebu endelea kuskilizia wadau waje,ila kwa burka labda 2 mpaka 2 na nusu
 
Mkuu nyumba arusha nyingi nzuri wanaanzia laki 2 na kuendelea..UNICTR wameshababisha nyumba kuwa ghali hasa hiyo mitaa ya njiro unayotaja ukipata kwa 150k nyingi zinakuwa na tatizo la parking au maji
 
Kwa kimango ulioko nacho, ungesema pande za ungaleloo, matejoo, sanawari ya juu, majengo... lakini siyo Njiro.
Vipi pande za sekei?
 
Great Thinkers,
Natafuta nyumba, ikiwa na vyumba 2 vya kulala, Sebule, Chooo, Jiko na Parking maeneo yeyote Arusha (preferably Njiro, Burka,Nane Nane, isiwe mbali sana na barabara kubwa.

Aisee hayo maeneo uliyotaja unaweza kupata nyumba lakini sio karibu na barabara.

Vipi maeneo ya sakina pia ni pazuri kuna ambayo rafiki angu anategemae kuhama mwisho wa mwezi huu ngoja nicomfirm alafu nitakujulisha hata kwa kukupatia namba ya landlord.

Arusha nyumba ni issue sana ni rahisi kupata kazi kuliko nyumba.
 
Vipi Daisy any news? Amehama? I will appreciate sana
Aisee hayo maeneo uliyotaja unaweza kupata nyumba lakini sio karibu na barabara.

Vipi maeneo ya sakina pia ni pazuri kuna ambayo rafiki angu anategemae kuhama mwisho wa mwezi huu ngoja nicomfirm alafu nitakujulisha hata kwa kukupatia namba ya landlord.

Arusha nyumba ni issue sana ni rahisi kupata kazi kuliko nyumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom