Natafuta ng'ombe wa kinyeji wa kufuga

Kimeo

Member
May 19, 2009
77
11
Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga
 
Nenda vijijini mbona wengi. Tena sio mbali hapo Chalinze tu kuna wa masai wengi na wamang'ati wana ng'ombe kibao. Uliza siku ya mnada utamnunua ng'ombe wako.
Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom