Natafuta Ndugu Zangu Humu JF!!!!

Mh! na uzee huo utapata unachokitaka kweli?
labda wallet yako iwe bado under 40 yearz old...
BTW hata mimi namtafuta mchumba wangu vivian
kwa mara ya mwisho aliondoka geto mwaka jana mwezi kama huu...
tulipovunja jungu pale NAMNAANI

niaje pacha? Upo? Jana nlionana na vivian pale Tandale mtogole. Anakusalimia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom