Natafuta nafasi ya kusoma cheti.

raia tz

Member
Nov 21, 2011
89
16
Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma na baadae degree ya IT.je naweza pata nafasi pale.

1.pia naomba ushauri wa plan b kama CBE,DIT IFM NA INSTITUTE NYINGINE.
2.Kama kuna mtu ana connection ya hao jamaa wa hivyo vyuo naomba mni pm au mnicall kwa 0654000253:
3.Elimu ni ufunguo wa maisha,natamani mdogo wangu usome and i believe msaada utataoka huku JF.
Shukrani nawasilisha.
 
Wapi,mkuu? Dar au Arusha? Ana kichwa cha IT? Ni muhimu kujua vitu kama hivyo na lengo la kumtaka asome IT ni lipi,mkuu?
 
Jaribu DIT Mkuu ka system bado haijabadilika, kuna jamaa zng nilimaliza nao O'level hawakuwa na Credit ila walipata hapo, mmoja alipiga cheti cha Comp Science n mwenzake alipiga Mining
 
Ina maana DIT siku hizi nao wanachukua vilaza, nakumbuka enzi hizo bila Div 1 au 2 hutii mguu pale!.
 
Jaribu DIT Mkuu ka system bado haijabadilika, kuna jamaa zng nilimaliza nao O'level hawakuwa na Credit ila walipata hapo, mmoja alipiga cheti cha Comp Science n mwenzake alipiga Mining

thanks kwa mawazo yako kaka,kama utakuwa na connection ya pa kuanzia pse ni PM nika stuggle. Thanks.
 
Hakuna connection katika elimu ni qualification tu. Kama ana pass at least 3 anaqualify kusoma cerificate chuo chochote. Ukitaka connection utaliwa hela zako. Just apply when you see the advert.
Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma na baadae degree ya IT.je naweza pata nafasi pale.

1.pia naomba ushauri wa plan b kama CBE,DIT IFM NA INSTITUTE NYINGINE.
2.Kama kuna mtu ana connection ya hao jamaa wa hivyo vyuo naomba mni pm au mnicall kwa 0654000253:
3.Elimu ni ufunguo wa maisha,natamani mdogo wangu usome and i believe msaada utataoka huku JF.
Shukrani nawasilisha.
 
ucc......ni chuo kizuri ila hakitambuliki.....makazini
ifm ni chuo kinachotambulika lakini hawajui kufundisha it na chuo chao hakina karakana ya wanafunzi wa kufanyia practical
cbe ni chuo kizuli ila hakina walimu wa it...wengi wao wanasoma computer application wanadai it
dit ni pazuli ila tatizo hawana walimu wazuli waliobobea kwenye it ,.......pale ni computer application wanadai eti ni it
udsm .....kidogo pazuli asome cheti cha computer science ipo pale na akimaliza atakuwa nondo.....sana huko kwengine atafundishwa kuformat computer na application ila udsm.....ndo mambo yote na ipo karakana ya wanafunzi kufanya practical
 
Back
Top Bottom