natafuta nafasi ya kazi

namnyak

Member
Nov 12, 2011
59
8
ninatafuta kazi yoyote ile nina bachelor ya sociology mwenye nafasi yoyote ile ani PM asanteni.
 
eeh inategemea utanilipa sh ngapi ya kunisaidia ktk maitaj yang ya kila siku
 
Tumia recruiting agencies kama Radar, prospect Africa etc. Ingawa huwa hamna formula ya jinsi ya kupata kazi. Ila tengeneza CV nzuri then jisajiri kwenye agencies. Jiandae vyema kabla hujaitwa kwenye interview; Ijue CV yako na ujue kampuni unayoomba kazi. Kujiamini ni muhimu sana ukiitwa kwa interview. Siku moja utafanikiwa.

Ingawa kichwa cha habari umesema "unatafuta nafasi ya kazi" hakikukaa vizuri sana
 
Habari za saizi
Natafuta kazi za ndani mim ni msichana mwemye umri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2004 natafuta kazi za ndani awe ni mkazi wa dar awe tayari kunilipa 70-80 kwa mwezi si chini ya hapo familia ya kikristo yenye upendo na amani asiwe mtu wa kunyayasa bali mwenye upendo na mwajiriwa ili niweze kufanya kazi wa umakini zaidi awe na mkataba wa kazi namba ni 0657018209 nia ujuzi na pia nafanya kazi zangu kwa umakini na uaminifu na kumfanya mwajiriwa asiwe na wasiwasi awapo kazini nina uelewa wa nini ninachokifanya pia nina ujuzi wa kufanya ya house keep kwa miaka mingi sasa .
Naomba wadau pia mnisaidie kutafuta nafasi hiiiiiiiiiiiiii.

Asanteni sana mtu yeyeote asisite kuwasiliana nami kwa namba hiziiiiiiii 0657018209

source: https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/192947-natafuta-kazi-za-ndani-3.html#post2823905
 
WAPI MAT.A.KO.N.I sawa ila jambo usilolijua kwako litabaki kama giza milele huwezi jua wala elewa asante mzee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom