Natafuta mwenza

Hii inaweza isiwe njia sahihi ya kutafuta mwenza wa maisha kwa watu wengi sana kwenye forum hii lakini mimi naomba kwa sasa niitumie baada ya kutumia njia nyingine nyingi tu na kukumbana na wasichana wa ajabu sana...




Sifa zangu
  1. Elimu ya chuo kikuu, degree ya kwanza.
  2. Dini muislamu...mimi sibagui dini
  3. urefu 5 11" ft
  4. Hodari na mtafutaji wa kweli wa maisha
  5. mchangamfu na pia napenda kujipa raha na kula bata ndogo ndogo za hapa na pale
  6. Napenda kusafiri,clubing,soccer,comedy (tyler perry's house of Pain is my favourite),movie,kukutana na marafiki wapya,napenda kupika na pia napenda kuhave fun..
  7. My favourite book... The autobiography of Malcom X
  8. Favuorite movie....Catch me if u can.
Sifa za binti.
  1. Msomi na anayejitambua
  2. mcheshi
  3. Mkweli na muhangaikaji wa maisha
  4. sibagui dini wala kabila
  5. Mwenye upendo wa kweli kwa mpenzi na ndugu.
  6. Anipende mimi kama mimi na si vinginevyo coz what I can promise is pure and true love coz all the materials can always come and go bt my love will remain to be pure and true forevever,
If it looks like nimekuvutia, go ahead and write me an email on rashmaki@gmail.com. kama unaona mizinguo poa lichunie na jiheshimu kwa kutokutoa comments za ajabu though siwez kuzuia uhuru wako wa kujiexpress....[/QUOTE]

mkuu ufafanuzi hapo kwenye red...
 
Dah huu mtihani kwangu iwa unakuwa mgumu sana kha!

Ni mgumu kwa vile wanaume mnaogopa challenge,mnataka muwe juu ya wake/wachumba zenu kwa kila kitu.Nadhani wewe unapenda dada awe form 4 na wewe Bachelors/Masters au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom