natafuta mwanamke zeruzeru wa kuoa

Sema mlemavu wa ngozi. Hilo jina ulilotumia si zuri tena.
 
jamani niko serious nahitaji mwanamke ambae ni zeruzeru awe my wife age kuanzia miaka 28-30
Hapo kwenye red..Usijekuwa unataka kumfanya dili.(Kuuza viungo vyake)!Tunaomba sababu za kutaka kuoa huyo zeruzeru na si wengine?:hatari:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom