Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,111
- 158,972
mimba unampa kwa njia ya kawaida au artificial?????
payments???
Payments tena wakati ashasema uwe na uwezo wa kumlea huyo mtoto!
mimba unampa kwa njia ya kawaida au artificial?????
payments???
mimba unampa kwa njia ya kawaida au artificial?????
payments???
Payments tena wakati ashasema uwe na uwezo wa kumlea huyo mtoto!
Yani kwenye thread za kishakunaku nyie vimbea huwa hamkosekani.
Khaaaa!!
Mie nilijua fursa imepatikana nakuwa kiwanda alafu nabaki kuvuna, tu acha nije mbio, mwee kumbe balaa tupu
Alafuuuu kwani wewe unafanya nn hapa?
Ushasahau mimi na kamulinzi kako?
Kama hujui nalipwa kukulinda na kufuatilia nyendo zako
Wacha weeeeeee!! Huyo nani anakulipa jamani tupange dili tuzivune!
Haikuhusu... we fanya kosa tu ndo utamjua.
Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
Mweeeeh!! Hebu acha balaa bwana mlinzi mwaminifu ni mbwa pekee, haiwezekani wewe ulipwe alafu mm natoka kapa.
Kama vipi labda unionjeshe kidogo ili iwe siri ya kudumu.
Yani kwenye thread za kishakunaku nyie vimbea huwa hamkosekani.
Khaaaa!!
Payments tena wakati ashasema uwe na uwezo wa kumlea huyo mtoto!
duh nilikua sijaona
wa kumpa bure ni mke wake tu
babu hizi fursa sio za kuacha
Baba ana-determine jinsia ya mtoto kivipi? elimu tafadhali