Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto wa kike

Mke wangu ameshafunga kuzaa kutokana na matatizo aliyopata wakati wa kujifungua mtoto wetu wa mwisho. Otherwise nisingehangaika hivi.

Nenda hospitali waka-check kama chromosomes zako zote ni Y. Kama sio Y tu, basi waweza kupata Ke kwa huyohuyo mkeo. Lo! bahati mbaya kweli mkeo hazai tena kwani ungemleta kwangu nimtundike mimba ili mpate mtoto wa kike kwani mimi najua namna ya kuzipanga sex na nina X na Y chromosomes kwa wingi!!
 
Nenda kamwone Prof mmoja pale mbuyuni dar (Maria Clinic) Atakusaidia. Mtoto wa kike yuko hapo chini ya kitovu chako hayuko wkwa mwanamke
 
nakushauri usitafute mtu wa kuzaa nae nje inawezekana nako ukapata wa kiume maana wewe ndio mwenye mbegu za x na y. ila tu cha kukushauri hesabu siku za mkeo kuna tarehe za mtoto wa kike tena nyingi kuliko za wa kiume.pia anza kuoga maji ya moto mara kwa mara na hata dk chache kabla ya tendo.
 
kaka unatafuta mtoto halafu kulea unaogopa mwe pole sana, kuna dada alisema anataka kuzalishwa mtoto atalea mwenyewe mcheki huyo labda atakusaidia kwani inaonyesha nia zenu zafanana yeye anataka mtoto ila atalea mwenyewe na wewe unataka mtoto unaogopa kulea. kila la kheri
 
Hebu niunganishe nae
 
Nenda hospitali waka-check kama chromosomes zako zote ni Y. Kama sio Y tu, basi waweza kupata Ke kwa huyohuyo mkeo. Lo! bahati mbaya kweli mkeo hazai tena kwani ungemleta kwangu nimtundike mimba ili mpate mtoto wa kike kwani mimi najua namna ya kuzipanga sex na nina X na Y chromosomes kwa wingi!!
Mbona hilo sio tatizo. The problem was just timing
 
nakushauri usitafute mtu wa kuzaa nae nje inawezekana nako ukapata wa kiume maana wewe ndio mwenye mbegu za x na y. ila tu cha kukushauri hesabu siku za mkeo kuna tarehe za mtoto wa kike tena nyingi kuliko za wa kiume.pia anza kuoga maji ya moto mara kwa mara na hata dk chache kabla ya tendo.
Tatizo wife alishafunga uzazi
 
Chief naona hapa unatuzingua tu yaani kumbe mke kafunga uzazi halafu wewe ndo unataka mtoto wa kike??/ Kumbuka mtoto ni mtoto usidharau hayo madume ya mbegu shauri yako!!!!
 
migogoro unaita halafu hutaki tena ridhika na kile Mola amekujalia acha kutafuta pressure za uzeeni
 
Wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.

Kwani lazima familia iwe na wa kike na wakiume
Acha mawazo potofu
Mtoto ni mtoto whether wa kike ama kiume
 
wanajf poleni mihangaiko ya life. Mimi ni husband wa somebody. Tumejaliwa watoto wa4 lakini wote ni wa kiume. Kwa kuwa jitihada zetu za kupata baby girl zimeshindikana, nawasilisha ombi kwa mwanamke yeyote aliyetayari kunizalia mtoto wa kike. Lakini awe pia na nia kama ya kwangu na uwezo wa kumlea mwenyewe. Ina maana awe anajimudu kimaisha. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima kwani huwa sipendi usumbufu licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.

mi nahisi umerogwa samahani kama ujajijua
nasema hivi nikimaanisha wakati unaingia kanisani/miskitini ulimwambia akizaa wa kikee ama kiume tupu uyawezi,na kama sio leo hii yakuwasha nini kuwaangukia mabinti wa wenzio shari atupendi acha kutuaribia madada zetu na kingine mi nilijua unataka kuzaa una uwezo kumbe wataka na kulelewa loh swabahana weye nini zaidi azijai zil ata upate wa kiume sherry....we la maana komaa na huyo wako mwombe mungu shost nikupe siri kidogo ila sio kwamba nakutisha

kuna mfanyabiashara mmoja arusha ana hela sana sana yeyeakuwa anaomba mwanamke mwenye hela bali mwenye kumzalia mwanaume..unajua akakutana na binti mmoja arusha akamwendea kwa waganga akamzalia kweli mtoto wa kiume ..baada ya hapo jamaa akaandika maduka kiwanda jina la mtoto wakati wakike akuandika hata mmoja baada ya miezi 3 yule mtoto mungu alimpenda zaidi ilikuwa story arusha nzima alikuwa akitamba nimeandika kila kitu kwa mtoto wangu so kuwa makini yasikupate
 
Chief, rudi katika biology ya human reproductive system. Yai la mwanamke halitoi jinsia ya mtoto (X chromosome) bali ni mbegu za mwanaume! Mbegu yenye X itarutubisha yai la mwanamke na kutoa mtoto wa kike (XX), mbegu Y itaunganika na yai kufanya mtoto wa kiume (XY). Therefore kuzaa na mwanamke mwingine will not make any difference.
 
Chief naona hapa unatuzingua tu yaani kumbe mke kafunga uzazi halafu wewe ndo unataka mtoto wa kike??/ Kumbuka mtoto ni mtoto usidharau hayo madume ya mbegu shauri yako!!!!

Aaah!! Mbona naenjoy kuwa na hiyo midume yangu kwani hata spare tyre hubadilisha yenyewe, kuosha gari na kadhalika. Tatizo ni kuwa ukiangalia kwa mila za kiafrika yaani mie nitakuwa mtoaji tu wa mahari kwa hiyo midume yangu na sio mpokeaji. Na hata watoto wangu naona wanamiss sister kiasi kwamba iliwahi kufikia kutaka kumng'ang'ania mtoto wa jirani yetu mmoja kuwa aje kuishi kwangu kwa kuwa ni mpole na sababu za aina hiyo. Hata wao naamini kuwa siku wakijua kuwa wana sister watafurahi sana.
 
Chief, rudi katika biology ya human reproductive system. Yai la mwanamke halitoi jinsia ya mtoto (X chromosome) bali ni mbegu za mwanaume! Mbegu yenye X itarutubisha yai la mwanamke na kutoa mtoto wa kike (XX), mbegu Y itaunganika na yai kufanya mtoto wa kiume (XY). Therefore kuzaa na mwanamke mwingine will not make any difference.

Our problem with my wife was just timing and planning. Hopefully ntakapompata mwingine akiye tayari, tutaplan na kufanya timing sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom