Natafuta mwanamke wa kuanzisha nae familia

bb2

Member
Sep 22, 2016
66
70
Habari ndugu zangu, pole kwa majukumu ya kila siku,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27, ninatafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano kwa lengo kuja kuishi nae pamoja awe na umri wa kuanzia miaka 22 -30, awe mkristo maana na mimi ni mkristo wa RC, awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea kwani mimi na shahada, awe mwaminifu nahitaji mtu aliye tayari mengine tutaongea PM.

Karibuni ila kama haikuhusu naomba usingilie.
 
hahahahahahah!!!!kama haikuhusu naomba usiingilie......ok naona umetuchimba mkwala wanaume wa dar es salaam na maneno yetu ya kukela!,
Hii nchi vituko haviishi,mkuu wa kaya kila sku ana jipya na msomi wa degree wanatafta wake kwa njia ya sanduku la posta!!!!hahahahahahaha
 
Unatafuta mke ama mfanyakazi? Naona kuna vigezo vingine kama unataka kuajiri
Kila mtu anataka kuanzisha mahusiano na mtu wa aina fulan hata ww hauwez kuanzisha mahusiano na kila mtu nadhan kuna mtu unamuhitaji awe mtu wako kama ilivyo mm
 
Habari ndugu zangu, pole kwa majukumu ya kila siku,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27, ninatafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano kwa lengo kuja kuishi nae pamoja awe na umri wa kuanzia miaka 22 -30, awe mkristo maana na mimi ni mkristo wa RC, awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea kwani mimi na shahada, awe mwaminifu nahitaji mtu aliye tayari mengine tutaongea PM.

Karibuni ila kama haikuhusu naomba usingilie.
Miss Natafuta
 
Mkuu umekosa kabisa njia mbadala ya kutafuta mke mpaka utangaze humu JF? Au umejisikia tu kufurahisha watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom