Natafuta mwanamke wa kuanzisha nae familia

Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana.

Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani.

Najitaji mwanamke mwenye mtazamo positive kwangu kwaajili ya kuanzisha familia pamoja.

Naamini mke au mume anaweza patkna popote pale panapo kutanisha watu hata hapa pia.

Mwanamke ninae mtaka awe na sifa muhimu anazopaswa kuwa nazo mwanamke anayeweza kutunza nyumba yake vizr pamoja na; ukarimu, uaminifu uwazi, heshima na utayari mengine ya muhimu sana ni awe na elimu angalau ya sekondari, anayejishughulisha na shughuli halali za kumuingizia kipato, mwenye umri kati ya 24 mpaka 34.

Mimi ni muajiliwa wa shirika moja linajishughulisha na shughuli za kuhudumia jamii, masters degree holder, umri miaka34, na mkarimu.

Nakaribisha maoni na michango mbalimbali lkn sipendi matusi na dhihaka.

Kwa walio na uhitaji nawakaribisha pm. Karibuni.

Kwani dada zako wote wameolewa?
 
i wish ungenipa nafasi but mimi nina mtoto mmoja kama utapenda nipm
 
Hujanielewa mi naamini kwamba ili watu mpendane ni lazima muonane kwanza ndo mtengeneze mapenzi kati yenu,lakini huwezi kutengeneze mapenzi kabla ya kuonana huo ni wizi mtyupuuuuu
 
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana.

Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani.

Najitaji mwanamke mwenye mtazamo positive kwangu kwaajili ya kuanzisha familia pamoja.

Naamini mke au mume anaweza patkna popote pale panapo kutanisha watu hata hapa pia.

Mwanamke ninae mtaka awe na sifa muhimu anazopaswa kuwa nazo mwanamke anayeweza kutunza nyumba yake vizr pamoja na; ukarimu, uaminifu uwazi, heshima na utayari mengine ya muhimu sana ni awe na elimu angalau ya sekondari, anayejishughulisha na shughuli halali za kumuingizia kipato, mwenye umri kati ya 24 mpaka 34.

Mimi ni muajiliwa wa shirika moja linajishughulisha na shughuli za kuhudumia jamii, masters degree holder, umri miaka34, na mkarimu.

Nakaribisha maoni na michango mbalimbali lkn sipendi matusi na dhihaka.

Kwa walio na uhitaji nawakaribisha pm. Karibuni.
mambo
 
Ila wewe!!! Ngoja ninyamaze tu ......ila ipo siku utakuja kuacha huo mchezo wako unaoucheza jf....
mkuu best usinyamaze bora useme hapa hapa amekuumiza nin huyu mtu halafu naona ANA ID MULTIPLE inabidi mamods wazikamate mapema huyu anaelekea ni tapeli pole sana happy polesana mwaya ila funguka tuambie amekwambia nin huko room ulipokwenda
 
Duh
Ndo maana naona mtoa mada hajarudi!

Very bad!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom