Natafuta mwanamke mwenye virusi vya UKIMWI

Ukitaka kuwapata wanawake wa aina hiyo nenda WAMATA mtaa wa Regent estate nyuma ya AAR Hospital iliyopo New Bagamoyo road ipo katikati ya stand ya mabasi ya Moroco na Kituo cha Victoria.Nimekushauri hivyo kwakua huwa wanautaratibu wa kukutana pale hivyo utapata details na njinsi ya kuishi na mwenzio alie athirika lakini mtashauriwa jinsi gani ya kuwa na watoto ambao hawajaathirika
 
Habari wana JF
Mimi ni mvulana mwenye maambukizi ya VVU.
Nahitaji mwanamke mwenye VVU ambaye atakuwa mke.sichagui dini wala kabila.umri kuanzia miaka 27 mpaka 35.nipo serious jaman.sihitaji mtu ambaye hayupo serious.kwa aliyeserious ani pm au atumie E-mail brayanmashao@gmail.com

Una muda gani tangu uambiwe ni HIV+?,je umeshaanza kutumia sumu(ARVs) na una muda gani tangu uanze kutumia sumu hiyo?

Nitafute ili ujiokoe na janga litakalokukuta baadaye kutokana na matumizi ya ARVs(kama unatumia),kwa maana ARVs ndizo zinazoua,watu hawafi kwa HIV bali ARVs.Okoa maisha yako sasa,sitahitaji pesa yako hata kidogo,ni ushauri wa bure tu.

1.Je unajua kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV/AIDS?
2.Je,unajua kwamba HIV/AIDS ni kasumba ya kufikirika ambayo inaonekana kuwa ya kweli kutokana na vifo vinavyotokana na matumizi ya ARVs?
3.Unajua kwamba vipimo vinavyoitwa vya HIV havipimi kijidudu chochote kile kwa muonekano?
4.Unajua kwamba HIV hajawahi kuonekana kwa macho kutoka kwenye damu ya mtu yeyote anayedhaniwa ana HIV?Muulize daktari yeyote unayemjua kama amewahi kumuona HIV kwa macho yake hata kwa kutumia chombo chochote cha maabara,atakwambia hapana.Je unajua wanapima nini badala yake?
5.Unajua kwamba hata mgunduzi wa huyo anayeitwa HIV hajawahi kumuona HIV kwa macho?Kama hujui nitakuthibitishia hilo kama ukitaka.
6.Je,unajua kwamba watu hufa kwa magonjwa yaleyale yanayojulikana tangu kabla na hata baada ya kutangazwa kwa HIV?na badala yake HIV ndiye anayesingiziwa kuwa kisababishi cha magonjwa yote hayo?
7.Unajua kama wapo watu wengi wanakufa kwa magonjwa yaleyale hata kama wamepimwa HIV-?lakini wakipimwa HIV+ basi HIV huyu wa kufikirika ndiye anayesingiziwa kuwa kisababishi?
8.Unajua kwamba madaktari hawana jibu la kutoa kuhusu ndoa nyingi sana ambazo ziko kwa zaidi ya miaka 10 na zina watoto lakini mmoja wao ni HIV- na mwingi ni HIV+ na watoto ni HIV-?ila kama wote ni HIV+ ndio wanapata credit kutokana na udhalimu wao walioutega kwenye vipimo vyao feki?
9.Unajua kwamba wewe umesingiziwa kuwa na HIV huyu wa kufikirika na labda utapewa/umepewa ARVs ambazo baadaye zitakuja kukuua halafu utamsingizia HIV kwamba ndiye kasababisha?
10.Unajua kwamba hata mgunduzi wa huyo HIV anashauri watu wasikimbilie kula ARVs na badala yake wale vyakula bora na mambo mengine ya kiasili?
11.Unajua kwamba mgunduzi wa huyo HIV amesema kwamba ukijenga kinga yako vizuri kutokana na kuishi kwa kula vyakula bora basi unaweza kumuondoa HIV kwenye mwili wako moja kwa moja?(hata huyo mgunduzi anajua kwamba HIV/AIDS ni changa la macho lakini bado anaficha ukweli kijanja),mwenye akili ndiye atakayejua ukweli.

ANGALIZO:
Fuatilia kwa makini magonjwa yale yoote yanayowaua watu walioambiwa wana HIV amabao wanatumia ARVs,ukishafuatilia,nakushauri uchukue ile karatasi iliyowekwa ndani ya kikopo cha ARVs,ikunjue vizuri ile karatasi kisha uisome sehemu inayoorodhesha madhara ya ARVs.Utaona kwamba madhara yaliyoorodheshwa kwenye ile karatasi ndio hayohayo yanayowaua wale wanaotumia ARVs,lakini pamoja na hayo yote bado HIV huyu anasingiziwa kuwa ndiye kisababishi,ama kweli ujinga ni kitu kibaya sana.

Hakuna hata ugonjwa mmoja wa kipekee unaoua watu ambao unasababishwa na HIV,fuatilia hilo.Wanaokufa utaona wanakufa kwa matatizo yafuatayo;
1.Presha au matatizo ya moyo
2.Ini
3.Figo
4.Anaemia/upungufu wa damu.Nadhani umeshasikia watu wenye pesa yao huenda kubadili damu nje ya nchi.
5.Cancer yoyote ile.Kwa wanawake huwa wanapata cancer ya kizazi mara nyingi.Nenda Ocean Road kajithibitishie mwenyewe hilo.
6.Kisukari
7.Nywele kudhoofika/kunyonyoka
8.Ngozi kufubaa/kutoka vipele/vidonda

Matatizo yote haya yameelezwa ndani ya karatasi iliyowekwa kwenye kikopo cha ARVs.Tatizo ni kwamba,mwafrika hana utamaduni wa kujisomea,na nina uhakika zaidi 90% ya watumiaji wa ARVs huwa hawasomi karatasi hiyo,na ndio maana wakipata matatizo hawajui kwamba ndio madhara ya ARVs na badala yake husingizia HIV ambaye hata hajawahi kuonekana hata na huyo mgunduzi mwenyewe.

Kwa wale wanaoacha ARVs ghafla huugua sana kutokana na addiction na badala yake HIV ndio husingiziwa eti wameongezeka baada ya mtu kuacha kutumia ARVs.Kwa hatujui kama mtu aliyebobea kunywa pombe au dawa za kulevya huumwa na hata kufa kama akiacha pombe au dawa za kulevya ghafla?Basi vivyo hivyo kwa wale wanaotumia ARVs.

Kuna mambo mengi unapaswa kuyajua,ninaweza kuandika kitabu kikubwa sana kuhusu jambo hili,wenzetu wazungu asilimia kubwa ni wadadisi na wameshajua hili,ndio maana kwao suala hili sio ishu kubwa ingawa bado wapo wajinga wachache.Viwanda vya ARVs soko lao kubwa liko Afrika,na Tanzania ndio epicenter ya HIV/AIDS mashariki ya Afrika,hivyo kuna faida kubwa sana wanayoipata kwa kuuza ARVs kwa serikali yetu.Hivyo ukiona unapimwa HIV bure na kupewa ushauri bure na ARVs bure suione kwamba unapendwa saaaana,hakuna upendo hapo,ni pesa tu ndio mpango mzima,wajinga ndio waliwao.

Nimetimiza wajibu wangu,mimi sitafuti credit humu ndani ya JF,na wala sina nia ya kujipatia fedha kwa njia hii.Elimu uliyonayo kama haina msaada kwa wengine ni bure tu,mimi nimetimiza wajibu wangu kutoa elimu hii bure.Najua wapo watakaopinga bila hoja za msingi,hilo nalijua,kuna pia wakurupukaji wanaochukulia mambo kirahisi sana,hao pia nawajua na nimeshapambana nao sana na wametulia,wengi wao ni madaktari.Hakuna mtu yeyote mwenye uwezo kihoja wa kupambana na hoja hizi,hii ni kwasababu hoja hizi ni za kweli kabisa na zina uthibitisho wa wazi kabisa,ila tatizo ni kwamba,HIV/AIDS imechukuliwa kama DINI/IMANI ndio maana ni vigumu sana kumbadili mtu kutoka kwenye mtazamao aliomezeshwa tangu miaka zaidi ya 30 iliyopita.Tumemezeshwa pia kwamba cancer haitbiki,kisukari hakitibiki nk.

Sasa hivi wanaanza kutumezesha kuhusu ushoga ili tuuone kwamba ni wa kawaida tu,halafu bado tunawasujudia na kuwatetea huku tukiwapigia magoti.Inakera sana kwa kweli.

Fungukeni akili na mjitambue sasa,hakuna HIV/AIDS,cancer inatibika,kisukari kinatibika nk.Jifunzeni kujisomea na kudadisi mambo yasiyo na mantiki kama haya.

Tumbaku inaongoza kwa kuua watu duniani lakini bado uvutaji wa tumbaku unaruhusiwa ingawa wamekuwekea angalizo,lakini bangi haijawahi kuua mtu na bado hairuhusiwi,simaanishi iruhusiwe kuvutwa,bangi ina matumizi mengi zaidi ya kuvuta,na ndio matumizi haya yenye faida.Sasa tumia akili hapo kwenye kuruhusu tumbaku na kuzuia bangi ambayo haiui,halafu bado tunashabikia tu.

Nikizungumza yote ninayoyajua hadharani,sitachukua muda mrefu,nitatoweka juu ya ardhi.
 
Duuuuh
 
Ila sikuhizi nyuzi za huu Ugonjwa zimekuwa nyingi, naona watu wameanza kuuzoea huu Ugonjwa, zamani ilikuwa nadra sana kukuta nyuzi za hivi
 
Hivi Mtu mzima na akili zako unapataje VVU??? UZEMBE CC. Deception
Hujui ulitendalo STUNTER , UKIMWI unaweza kuambukizwa kwa namna nyingi, sio wote wanaoambukizwa ni wazembe / malaya. Je mtu anayepata maambukizi kwenye ajali kutokana na mwingiliano wa damu na mwathirika utasema ni mzembe? Je kama uko kwenye ndoa na umetulia lakini mwenza wako akawa sio mwaminifu, mwisho wa siku akakuletea ugonjwa ndani utasema ni mzembe?
 
Ishu ni kwamba,
UZEMBE, na UPUNGUANI NAMBA MOJA NI KUAMINI KWAMBA KUNA VIRUSI VYA UKIMWI, Sasa kama kilasiku mnaambiwa siri iliyopo juu ya ARVs, lakini bado mnazifakamia,
na mnaambiwa siri iliyopo kwenye Vifaa vya kupimia lakini bado mnajipeleka kupima ukimwi, yanini tena mtu kupoteza nguvu zake ili kuendelea kuwaelimisha? Kwa hilo mtanisamehe aisee, Na mufe tu
 
Mkuu afadhari umejitokeza. Mimi ninamjua dada mmoja ni rafiki wa kuheshimiana . Ameathirika mwaka jana , anatafuta nae mwanaume ambae n mwathirika
Anafanya kazi hospital fulani hapo Dar. Kama uko serious nipm kwa 0752218627
umetumia nafsi ya tatu, lakin nadhan hio ni nafs ya kwanza!!!
 
Hujui ulitendalo STUNTER , UKIMWI unaweza kuambukizwa kwa namna nyingi, sio wote wanaoambukizwa ni wazembe / malaya. Je mtu anayepata maambukizi kwenye ajali kutokana na mwingiliano wa damu na mwathirika utasema ni mzembe? Je kama uko kwenye ndoa na umetulia lakini mwenza wako akawa sio mwaminifu, mwisho wa siku akakuletea ugonjwa ndani utasema ni mzembe?

Nani aliyekwambia kwamba ukimwi unaambukizwa?Wakati watu kama mimi tunasisitiza watu muwe na utayari wa kusikiliza na kuhoji pale tunapowafundisha,ninyi mnapuuzia.Sasa haya ndio matatizo yake,hamjui hata basics/misingi.Aliyekwambia kwamba ukimwi unaambukizwa ni nani?

Si wewe tu,hata madaktari wanaosema ukimwi unaambukizwa pia wapo wengi tu,yaani kwenye suala hili hata madaktari wanaweka akili zao mfukoni,ndio maana nasema HIV/AIDS ni kama dini/imani,kumchomoa mtu kutoka kwenye fikra hizi ni kazi kubwa sana.

Kinachonishangaza mimi ni pale msipotaka hata kuhoji kile ninachozungumza.Hii ni hatari sana.Kwa jamii hii tuliyonayo Tanzania,ndio maana tunadharaulika dunia nzima,hata mfungaji bora wa ligi za ndani Afrika, kwenye mitandao ya nje anajulikana anatoka Tunisia wakati ni mtanzania.Yaani sisi ni shamba la bibi kila mahali.Tanzania ndio kitovu cha HIV/AIDS afrika mashariki,uchafu wote sisi ndio tunaongoza.
 
Una muda gani tangu uambiwe ni HIV+?,je umeshaanza kutumia sumu(ARVs) na una muda gani tangu uanze kutumia sumu hiyo?

Nitafute ili ujiokoe na janga litakalokukuta baadaye kutokana na matumizi ya ARVs(kama unatumia),kwa maana ARVs ndizo zinazoua,watu hawafi kwa HIV bali ARVs.Okoa maisha yako sasa,sitahitaji pesa yako hata kidogo,ni ushauri wa bure tu.

1.Je unajua kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV/AIDS?
2.Je,unajua kwamba HIV/AIDS ni kasumba ya kufikirika ambayo inaonekana kuwa ya kweli kutokana na vifo vinavyotokana na matumizi ya ARVs?
3.Unajua kwamba vipimo vinavyoitwa vya HIV havipimi kijidudu chochote kile kwa muonekano?
4.Unajua kwamba HIV hajawahi kuonekana kwa macho kutoka kwenye damu ya mtu yeyote anayedhaniwa ana HIV?Muulize daktari yeyote unayemjua kama amewahi kumuona HIV kwa macho yake hata kwa kutumia chombo chochote cha maabara,atakwambia hapana.Je unajua wanapima nini badala yake?
5.Unajua kwamba hata mgunduzi wa huyo anayeitwa HIV hajawahi kumuona HIV kwa macho?Kama hujui nitakuthibitishia hilo kama ukitaka.
6.Je,unajua kwamba watu hufa kwa magonjwa yaleyale yanayojulikana tangu kabla na hata baada ya kutangazwa kwa HIV?na badala yake HIV ndiye anayesingiziwa kuwa kisababishi cha magonjwa yote hayo?
7.Unajua kama wapo watu wengi wanakufa kwa magonjwa yaleyale hata kama wamepimwa HIV-?lakini wakipimwa HIV+ basi HIV huyu wa kufikirika ndiye anayesingiziwa kuwa kisababishi?
8.Unajua kwamba madaktari hawana jibu la kutoa kuhusu ndoa nyingi sana ambazo ziko kwa zaidi ya miaka 10 na zina watoto lakini mmoja wao ni HIV- na mwingi ni HIV+ na watoto ni HIV-?ila kama wote ni HIV+ ndio wanapata credit kutokana na udhalimu wao walioutega kwenye vipimo vyao feki?
9.Unajua kwamba wewe umesingiziwa kuwa na HIV huyu wa kufikirika na labda utapewa/umepewa ARVs ambazo baadaye zitakuja kukuua halafu utamsingizia HIV kwamba ndiye kasababisha?
10.Unajua kwamba hata mgunduzi wa huyo HIV anashauri watu wasikimbilie kula ARVs na badala yake wale vyakula bora na mambo mengine ya kiasili?
11.Unajua kwamba mgunduzi wa huyo HIV amesema kwamba ukijenga kinga yako vizuri kutokana na kuishi kwa kula vyakula bora basi unaweza kumuondoa HIV kwenye mwili wako moja kwa moja?(hata huyo mgunduzi anajua kwamba HIV/AIDS ni changa la macho lakini bado anaficha ukweli kijanja),mwenye akili ndiye atakayejua ukweli.

ANGALIZO:
Fuatilia kwa makini magonjwa yale yoote yanayowaua watu walioambiwa wana HIV amabao wanatumia ARVs,ukishafuatilia,nakushauri uchukue ile karatasi iliyowekwa ndani ya kikopo cha ARVs,ikunjue vizuri ile karatasi kisha uisome sehemu inayoorodhesha madhara ya ARVs.Utaona kwamba madhara yaliyoorodheshwa kwenye ile karatasi ndio hayohayo yanayowaua wale wanaotumia ARVs,lakini pamoja na hayo yote bado HIV huyu anasingiziwa kuwa ndiye kisababishi,ama kweli ujinga ni kitu kibaya sana.

Hakuna hata ugonjwa mmoja wa kipekee unaoua watu ambao unasababishwa na HIV,fuatilia hilo.Wanaokufa utaona wanakufa kwa matatizo yafuatayo;
1.Presha au matatizo ya moyo
2.Ini
3.Figo
4.Anaemia/upungufu wa damu.Nadhani umeshasikia watu wenye pesa yao huenda kubadili damu nje ya nchi.
5.Cancer yoyote ile.Kwa wanawake huwa wanapata cancer ya kizazi mara nyingi.Nenda Ocean Road kajithibitishie mwenyewe hilo.
6.Kisukari
7.Nywele kudhoofika/kunyonyoka
8.Ngozi kufubaa/kutoka vipele/vidonda

Matatizo yote haya yameelezwa ndani ya karatasi iliyowekwa kwenye kikopo cha ARVs.Tatizo ni kwamba,mwafrika hana utamaduni wa kujisomea,na nina uhakika zaidi 90% ya watumiaji wa ARVs huwa hawasomi karatasi hiyo,na ndio maana wakipata matatizo hawajui kwamba ndio madhara ya ARVs na badala yake husingizia HIV ambaye hata hajawahi kuonekana hata na huyo mgunduzi mwenyewe.

Kwa wale wanaoacha ARVs ghafla huugua sana kutokana na addiction na badala yake HIV ndio husingiziwa eti wameongezeka baada ya mtu kuacha kutumia ARVs.Kwa hatujui kama mtu aliyebobea kunywa pombe au dawa za kulevya huumwa na hata kufa kama akiacha pombe au dawa za kulevya ghafla?Basi vivyo hivyo kwa wale wanaotumia ARVs.

Kuna mambo mengi unapaswa kuyajua,ninaweza kuandika kitabu kikubwa sana kuhusu jambo hili,wenzetu wazungu asilimia kubwa ni wadadisi na wameshajua hili,ndio maana kwao suala hili sio ishu kubwa ingawa bado wapo wajinga wachache.Viwanda vya ARVs soko lao kubwa liko Afrika,na Tanzania ndio epicenter ya HIV/AIDS mashariki ya Afrika,hivyo kuna faida kubwa sana wanayoipata kwa kuuza ARVs kwa serikali yetu.Hivyo ukiona unapimwa HIV bure na kupewa ushauri bure na ARVs bure suione kwamba unapendwa saaaana,hakuna upendo hapo,ni pesa tu ndio mpango mzima,wajinga ndio waliwao.

Nimetimiza wajibu wangu,mimi sitafuti credit humu ndani ya JF,na wala sina nia ya kujipatia fedha kwa njia hii.Elimu uliyonayo kama haina msaada kwa wengine ni bure tu,mimi nimetimiza wajibu wangu kutoa elimu hii bure.Najua wapo watakaopinga bila hoja za msingi,hilo nalijua,kuna pia wakurupukaji wanaochukulia mambo kirahisi sana,hao pia nawajua na nimeshapambana nao sana na wametulia,wengi wao ni madaktari.Hakuna mtu yeyote mwenye uwezo kihoja wa kupambana na hoja hizi,hii ni kwasababu hoja hizi ni za kweli kabisa na zina uthibitisho wa wazi kabisa,ila tatizo ni kwamba,HIV/AIDS imechukuliwa kama DINI/IMANI ndio maana ni vigumu sana kumbadili mtu kutoka kwenye mtazamao aliomezeshwa tangu miaka zaidi ya 30 iliyopita.Tumemezeshwa pia kwamba cancer haitbiki,kisukari hakitibiki nk.

Sasa hivi wanaanza kutumezesha kuhusu ushoga ili tuuone kwamba ni wa kawaida tu,halafu bado tunawasujudia na kuwatetea huku tukiwapigia magoti.Inakera sana kwa kweli.

Fungukeni akili na mjitambue sasa,hakuna HIV/AIDS,cancer inatibika,kisukari kinatibika nk.Jifunzeni kujisomea na kudadisi mambo yasiyo na mantiki kama haya.

Tumbaku inaongoza kwa kuua watu duniani lakini bado uvutaji wa tumbaku unaruhusiwa ingawa wamekuwekea angalizo,lakini bangi haijawahi kuua mtu na bado hairuhusiwi,simaanishi iruhusiwe kuvutwa,bangi ina matumizi mengi zaidi ya kuvuta,na ndio matumizi haya yenye faida.Sasa tumia akili hapo kwenye kuruhusu tumbaku na kuzuia bangi ambayo haiui,halafu bado tunashabikia tu.

Nikizungumza yote ninayoyajua hadharani,sitachukua muda mrefu,nitatoweka juu ya ardhi.
kaka umewafunika upoteza mbaya kabisa mkuu
 
Hongera kwa kukubali Hali yako na kuishi kwa furaha, ukimpata huyo mke mtazaa watoto Bila tatizo lolote, Nakushauri usiumize wengine wasio na hatia, mungu atakupigania
 
utampata kwenye vituo vinavyotoa dawa kwa waathirika wa huo ugonjwa, kila la kheri mkuu ila itakuwa vyema ukimtafuta na housegirl aliyeathirika pia
 
Peleka tangazo kwenye clinik zao aka CDC utakutana nao wakichukua doz zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom