Natafuta mwanamke ambaye ataupooza moyo moyo wangu

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Jamani akina dada naombeni msaada wenu kwa yeyote ambaye atajitokeza au kijitolea ili kuupoza moyo wangu ulioumia baada ya kutendwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda. Kwa jinsi alivyonifanyia kwa kweli sitamani kuwa na mwanamke mwingine yoyote maishani wangu aumuzi ambao sio mzuri kwa sababu kwa kufanya hivyo naweza kujikuta nikijiingiza katika tabia za ajabu ikiwemo ushoga. Jamani kina dada naombeni msaada wenu kama kuna mwanamke yoyote ambaye atajitolea kuupooza moyo wangu na kunisahaulisha machungu yote na karaha za huu ulimwengu kwa njia yoyote ile ili mradi tu awe anaishi Arusha. Sitojali umri wake kabila, dini wala utaifa wake ili mradi tu aweze kuponya moyo wangu. Natanguliza shukrani Shukrani zangu za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika hili. Asante
 
Kama hujaoa, libeneka litaendelea tu, hakuna mapoozo kwa uasherati, ni fedha yako tu, wafanya biashara za ngono wamejaa, mwishowe utaondoka na UKIMWI ndipo utapopooza moyo vizuri. Sikuombei mabaya nataka uoe uachane na hizi kasumba za kijinga.
 
kaka huna haja ya kufanya hayo,wangapi wanaumizwa lkn wanasonga mbele? Jiamini kuwa unaweza sahau japokuwa sio kabisa hla wa kukutoa kwenye msongo wa mawazo n wewe mwenyewe!
 
Weeeeewewe mbona hivyo tena.....Nenda Triple A cheza disco mpaka mida ya saa 8 utapata wengi pale..
 
Kama hujaoa, libeneka litaendelea tu, hakuna mapoozo kwa uasherati, ni fedha yako tu, wafanya biashara za ngono wamejaa, mwishowe utaondoka na UKIMWI ndipo utapopooza moyo vizuri. Sikuombei mabaya nataka uoe uachane na hizi kasumba za kijinga.

Dah! mama wewe una ushauri wa busara. ningekuwa na dada kama wewe haya yote yasingenikuta. Nashukuru kwa ushauri wako mama
 
kaka huna haja ya kufanya hayo,wangapi wanaumizwa lkn wanasonga mbele? Jiamini kuwa unaweza sahau japokuwa sio kabisa hla wa kukutoa kwenye msongo wa mawazo n wewe mwenyewe!

Sawa nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
mnh eti umetendwa? unajua kutendwa weye? yaani kukuta galfriend ana flirt na wanaume ndio unafikiria yote hayo,eti utakuwa shoga??? kweli ujana maji ya moto.
 
mnh eti umetendwa? unajua kutendwa weye? yaani kukuta galfriend ana flirt na wanaume ndio unafikiria yote hayo,eti utakuwa shoga??? kweli ujana maji ya moto.

Sijui embu nifundishe. Kutendwa kukoje??
 
Just be yourself. Huo aliyekutenda ulizaliwa nae hadi akupe headache ya hivyo??
Jishughulishe na mambo ya maana, then songa mbele na maisha. Atakuja tu waukweli in no time, bila kutegemea.
Tulia.
 
Just be yourself. Huo aliyekutenda ulizaliwa nae hadi akupe headache ya hivyo??
Jishughulishe na mambo ya maana, then songa mbele na maisha. Atakuja tu waukweli in no time, bila kutegemea.
Tulia.

Nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
thats not the best way to get the right woman, tuliza akili utapata tu mwanamke utakaempenda pasipo kuandika matangazo kwenye mitandao,kuwa makini kwa maamuzi unayoyachukua especially this time when u ar in a stressful situation,
 
Nashukuru kwa ushauri wako mtende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom