Natafuta mwalimu wa kuoa

Ardhi ni ngumu kuipata alafu sio rahisi kupata soko maana barabara ya kwenda mwanza ni mbovu sana ambapo tungepata soko la mazao yetu.

lima safirisha wakati wa kiangazi. kuna mazao ya arthi hiyo hujatafiti tu . anyway tuache mwenzetu anatafita mwenza tunaleta uchumi humu
 
Unataka mwalimu wa levo/ elimu gani? Kuna dada mmoja (mbichi) ni mwalimu na kamaliza PhD ya kiswahili hivi karibuni, sina taarifa (up date) kama keshapata 'bwana' ila kama unataka nikusogeze hapo kwa dada msomi mwenye PhD yake nitakupa tafu... Wala usipate shaka...

PICHA YA HUYO DADA MWENYE Ph.D TAFADHALI MKUU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom