Natafuta mwalimu wa kunifunza kiarabu

Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,014
5,610
Habari wana JF...
Ninatafuta Mwalimu wa kike au wa kiume wa kunifunza kusema kiarabu cha kawaida (sio cha dini, sio cha biashara wala academic).
Mi mwenyewe ni mtu napenda sana kujichanganya, niko active SANA kupitia PM ila somo likiendelea tunaweza kubadilishana contacts zingine. Pia nina kichwa chepesi cha kujifunza lugha, ingawa sijui lugha yoyote ya ki- Semite.
Asanteni
 
mtumie pm barubaru.bila shaka atakidhi kiu yako
Ningependa kufanya hivo ila nadhani ni vema zaidi kama mwalimu anae taka kunisaidia atajitokeza wa kwanza na kunitumia PM...Jaribu kufikiria itakuaje nikianza kutuma PM kwa watu ambao sio waalim au kwa waalim ambao hawataki kunisaidia? naweza nikakata tamaa mapema baada ya kujibiwa negatively.
 
mwenye shida na amfuate mganga! huyo jamaa hata kama yeye haiwezi hiyo kazi naamini anaweza kukunganisha na watu wengine ambao ni mafundi wa hiyo lugha.
 
mwenye shida na amfuate mganga! huyo jamaa hata kama yeye haiwezi hiyo kazi naamini anaweza kukunganisha na watu wengine ambao ni mafundi wa hiyo lugha.
Asante Myhem kwa ushahuri
 
kama uko jijini Dar, fika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(uwe makini maana FFU inje inje), Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ofisi no. 204 kwa katibu muhtasi wa Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji, mwambie akuelekeze ofisi ya Prof. Abdu Khamis Mtajuka(ni mzee wa miaka 75, lakini very charming).
Nadhani atakupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
 
jaribu wale watu wa somalia Alshababu watakufundisha bure kabisa na hata ukitaka wakuajiri baada ya hapo watakuajiri ni c unajua walivyo na pesa za kuteka meri za mizigo?
 
Kuna wale jamaa waliomhonga Jk suti...nenda watakufundisha. Wanapatikana pale Kempysk hotel. Ni waarabu wale.
 
Mwali usivunjike moyo tafuta elimu, Achana na watu kama Komandoo na don oba - hawana kitu cha maana cha kuchangia hapa - raslimali yao kubwa ni ujinga.

Kiarabu ni moja ya lugha muhimu duniani na ni moja ya lugha rasmi kwenye umoja wa mataifa na majukwaa mengine ya kimataifa. Acha kiswahili chenyewe kimejaa maneno ya kiarabu na kiarabu ndicho kimeitajirisha lugha ya kiswahili katika miundo ya falsafa, mashairi n.k. Jiendeleze - uendelee
 
wewe sijui wa wapi?
Yani hujaona mchango wangu chanya hapo juu, ila ukaona madudu ya kina komando?
 
kama uko jijini Dar, fika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(uwe makini maana FFU inje inje), Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ofisi no. 204 kwa katibu muhtasi wa Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji, mwambie akuelekeze ofisi ya Prof. Abdu Khamis Mtajuka(ni mzee wa miaka 75, lakini very charming).
Nadhani atakupatia ufumbuzi wa tatizo lako.

Sipo Dar mkuu... Na ningependa tuwasiliane online zaidi...
 
jaribu wale watu wa somalia Alshababu watakufundisha bure kabisa na hata ukitaka wakuajiri baada ya hapo watakuajiri ni c unajua walivyo na pesa za kuteka meri za mizigo?
We naona ungetafuta wa kukufunza hata kiswahili kwanza!
 
Kuna wale jamaa waliomhonga Jk suti...nenda watakufundisha. Wanapatikana pale Kempysk hotel. Ni waarabu wale.
Alie kwambia nataka honga nani? Kama huna cha kusema usitafutie umaarufu katika thread yangu.
 
Mwali usivunjike moyo tafuta elimu, Achana na watu kama Komandoo na don oba - hawana kitu cha maana cha kuchangia hapa - raslimali yao kubwa ni ujinga. Kiarabu ni moja ya lugha muhimu duniani na ni moja ya lugha rasmi kwenye umoja wa mataifa na majukwaa mengine ya kimataifa. Acha kiswahili chenyewe kimejaa maneno ya kiarabu na kiarabu ndicho kimeitajirisha lugha ya kiswahili katika miundo ya falsafa, mashairi n.k. Jiendeleze - uendelee
wewe sijui wa wapi?Yani hujaona mchango wangu chanya hapo juu, ila ukaona madudu ya kina komando?
Asanteni kaka zangu. Andare, nimeona ushahuri wako na nikiwa dar nitaufanyia kazi. thank you. Percival, Moyo wangu hauvunjiki kirahisi hivo. huyo Komandoo namuonea huruma. Kwanza jina lake tu linaonesha hakua na uwezo wa kufikiria zaidi ya pumba alio andika. :)
 
Sipo Dar mkuu... Na ningependa tuwasiliane online zaidi...

mimi na wewe, au wewe na mwalimuyo?
By tha way, hata mimi hupenda nijifunze kiarabu, TUKI wataanza kutoa summer short course ya hiyo kitu kuanzia mwaka ujao.
Better uwe hapa ujifunze...
 
mimi na wewe, au wewe na mwalimuyo?By tha way, hata mimi hupenda nijifunze kiarabu, TUKI wataanza kutoa summer short course ya hiyo kitu kuanzia mwaka ujao.Better uwe hapa ujifunze...
Mimi na wewe tena? si tutadanganyana tu, maana wote wanafunzi? Nimeongea na Mkuu mmoja hapa jamvini, Kasema tupo wengi kumbe. Tunataka kuanzisha thread kule jukwaa la lugha. Karibu.
 
Back
Top Bottom