Natafuta mwalimu wa kum- brush mwanangu english

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93

MWANANGU NI GRADUATE, LAKINI ENGLISH YAKE KWA KUZUNGUMZA SI MZURI
NINATAFUTA MWALIMU ATAKAYE KUJA NYUMBANI BAADA YA MAKUBALIANO YA MUDA NA MALIPO

AWE MWALIMU SI MZUNGUMZA KIMOMBO TU MAANA HATAJUWA NAMNA YA KUMFUNDISHA NA KUELEWA KWA HARAKA
NITATAKA KUONA CV YA HUYO MWALIMU ATKAYE TAKA KAZI HII.
WASILIANA NAMI KWA EMAIL: ak_abduel@yahoo.com
Mama Anna
 
Kuna watu wengine wana vipaji vya ualimu japo sio waalimu.Na kama waalimu ndo wangekua wanaiweza kazi leo hii angekua anakijua vizuri.

Nwy nna dada yangu mwl mzuri sana wa kiingereza nitumie details za wapi ulipo na mengineyo nione kama anaweza kukusaidia!
 
MWANANGU NI GRADUATE, LAKINI ENGLISH YAKE KWA KUZUNGUMZA SI MZURI
NINATAFUTA MWALIMU ATAKAYE KUJA NYUMBANI BAADA YA MAKUBALIANO YA MUDA NA MALIPO

AWE MWALIMU SI MZUNGUMZA KIMOMBO TU MAANA HATAJUWA NAMNA YA KUMFUNDISHA NA KUELEWA KWA HARAKA
NITATAKA KUONA CV YA HUYO MWALIMU ATKAYE TAKA KAZI HII.
WASILIANA NAMI KWA EMAIL: ak_abduel@yahoo.com
Mama Anna

Mtoto wa kike au wa kiume?
 
Back
Top Bottom