Natafuta mwalimu wa dance(kucheza muziki)

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Jamani nimekuwa niko nyuma sana na inaniuma sana ninapokuwa club na kwny sherehe halafu washikaji rika langu wanacheza vizuri wakati mimi najifaragua tu..

Sasa nimechoka kuwa left out na kufeel out of place.So,nahitaji mwalimu wa kuninoa..ama sehemu wanayofundisha kucheza muziki jijini Dar. Masomo yataanza as soon as practcally possible.Ada ya mafunzo iwe reasonable.
 
Unataka ujue kucheza Mabreka? Rege? Kwaito? Bachata? Rock? Merengue? Chakacha? Reaggeton? Charanga? Bolingo? Hip hop? Taarabu? Salsa? Au staili gani hasa.. Hebu kuwa specific. Pia natoa mafunzo free of charge kwa wadada wa rika zote, sibagui..
 
Aina zote..halafu mi ni he so sitaki free we nambie sh ngapi inacost
 
Mi sifundishii hela Bana, hebu nenda pale THT wanaweza kukupa mwongozo. Manake wana matrainer pale unaweza chonga nao kwa program binafsi..
 
Zile nadhani tuziweke kwenye kundi la Bolingo au Dansi.. Na mimi nakaribishwa kujifunza King'asti?
 
Oyaaa Mwenzenu niko siriaz

Mkuu mimi najitolea kukufundisha kwa moyo mmoja ila masharti yake
1. Mazoezi yatafanyika usiku tu,mchana niko kazini
2. Itabidi hyo course ifanyike tukiwa Nake.d ili kuepuka kubanwabanwa na nguo wakati wa kufanya mazoezi
3. Itabidi uje mwenyewe(mkeo/mchumba)abaki nyumbani kuepuka fujo za hapa na pale
4. Unaruhusiwa kulala mpaka asubuhi endapo utakuwa umechoka na mazoezi
5. Pia unashauriwa kubeba 'chochote' kwa usalama wetu.
 
Iwapo utaridhika piga namba hizi
911/0784800800.
 
Hili tatizo hata mi ninalo,
Harusi zote za washkaji hua nauchuna kwa siti tu,

Disco na nakaaga counter tu, tena hii ni mbaya maana "sinywi"
 
Mkuu mimi najitolea kukufundisha kwa moyo mmoja ila masharti yake
1. Mazoezi yatafanyika usiku tu,mchana niko kazini
2. Itabidi hyo course ifanyike tukiwa Nake.d ili kuepuka kubanwabanwa na nguo wakati wa kufanya mazoezi
3. Itabidi uje mwenyewe(mkeo/mchumba)abaki nyumbani kuepuka fujo za hapa na pale
4. Unaruhusiwa kulala mpaka asubuhi endapo utakuwa umechoka na mazoezi
5. Pia unashauriwa kubeba 'chochote' kwa usalama wetu.
Iwapo utaridhika piga namba hizi
911/0784800800.

Nimefurahi sana ,tatizo nimepiga izo namba naambiwa “embu tutolee kiraruraru hapa“
 
Afu mbaya zaidi huwa naumia wakianzaga madude yao wanaitaga kwaito sjui..
Yani utafkiri walifanya maoezi pamoja kuna siku nlijitia kujaribu wacha niaibike!!

Nikapiga kozi wee walau nkaweza sasa sku izi naona kuna kwaito mpya hata siielewi..
 
Back
Top Bottom