MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
Usipate tabu nami niko single karibu tusongeshe maisha
Ishakuwa tabu dada kuwa makini naona majirani zetu wanakunyemelea asije akaja mtu na gia ya kuoa kumbe makaratasi :becky:
Usipate tabu nami niko single karibu tusongeshe maisha
Kwakuwa umesema unataka mtu mwenye uwezo na ikiwezekana hata mzungu basi nakushauri uwasiliane na Mange Kimambi ambaye atakupa mbinu zote za kuwapata hawa unaohitaji,yeye ni member hapa kwa jina lingine au tuma ujumbe kwenye blog yake.
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....
NATAFUTA MUME........
Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.
Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.
Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.
Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.
Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.
Nisaidieni mwanamke mwenzenu

bt msimdanganye mwezenu msije mkawa mafanya research za chup funua funika ndo zenu?mwezenu anatafuta mume uyo !!!!
Gerrie leone
habari zenu wadau mimi nina umri wa 36rys natafuta mume mwenye maadili ya kikiristo ambaye umri usipungue 45yrs karibuni emel.gerrieleone@ymail.com
Mashauri yako...hua yaniamsha mawazo mazuri hakika!Dada nikushauri tu Mume hatafutwi ki hivyo hata siku moja tena kuwa na fikira za kuolewa ndo kabisa hutaolewa. Cha msingi muonbe Mungu sana akupe mume aliyekupangia usijefikiri kuoelewa ni mchezo. Nachokiona kwako umesema unakazi nzuri hapa inaonyesha unajali sana kazi yako na unapotoka nyumbani ofisini, ofisini nyumbani tena ukawa na corola kama yangu ndo kabisa hata hao wanaume watakuona saa ngapi nakwambia yaliyowahi kunikuta mpaka baadae nikaanza kwenda bar kukaa na wenzangu japokuwa pombe sinywi nikawa nafuatwa kila kukicha so jichanganye na watu wakuone. UTAOLEWA TU HAPO NAKWAMBIA hata kama hutaki kwenda bar basi nenda hata jumuiya kusali au kanisani kwenye sherehe mbalimbali hata kama ni birthday we hudhuria tu utaonekana.