natafuta mume

bidada Mwenyenzi Mungu na akutane na haja ya moyo wako., kazana kuomba..
 
Nitakufaa san bidada kwani sifa zote ninazo! kama bado haujapata nipe nafasi ya kuanza mawasiliano na wewe!! mungu ndo anayejua na usishangae tukawa wote! Niko kati ya 36-43
 
vigezo vingi sana utafikiri kazi ya jeshi bwana?punguza vigezo na kama uliumizwa na wewe
huyu utakaye mpata muumize
 
Mimi ni mdada mwenye miaka 32. Kiumbo mnene asili yetu wanyaks,mrefu kiasi, mjasiriamali, elimu diploma na dini yangu ni mkristo. Napenda kutembelea wasiojiweza. Nahitaji mume mwenye kwanzia miaka 34-43, mwenye hofu ya Mungu,kabila lolote, kajiajiri au kaajiriwa. Awe muwazi na anayejua majukumu yake kama mwanaume. Awe mtu wa muaminifu coz nilishatendwa ndo maana nimekaa muda mrefu bila yakuwa ktk uhusiano. Naamini Mungu atanipatia sawasawa na mawazo yangu...karibuni.

Kuwa mvumilivu utapata
 
Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Jamani hii ni advert kwa ajili ya watu kufanya application ya kazi au ni kutafuta mchumba tu! Hii dunia ya Munbgu tunaipeleka wapi,nakushauri ukatafute mchumba kijijini dada yangu ambao hawajawa poluted lakini kama ni hawa wa hapa jijini kazi kweli kweli,uta end kuchanganyikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom