Natafuta mume wa kufunga nae ndoa.

Salaam, nina imani Mwenyezi Mungu atasaidia kutatua suala lako Je mume mtarajiwa awe wa dini gani au yoyote ni sawa?
 
Ubungo,kwa upande wa dini awe mkristo wa katoliki.
Sisi wenye sifa unazozitaja lakini bahati mbaya tukawa Walutheri ndo imekula kwetu? Sikujua Yesu wa kikatoliki siyo yuleyule wa kilutheri. Ndo nimejua leo.
 
25 to 45 almost twenty years difference. Umenitia moyo coz am almost 30 yrs old nikajihisi nimechelewa kuoa, kumbe hata nikifika 35 to 45 naweza kuhitajika/kuoa bint wa 20s. UMENITIA MOYO.

ALL THE BEST. HOPE UTAMPATA NA ATAKUPENDA NA MTAJENGA FAMILIA BORA WITH BEAUTIFUL KIDS.
 
Sina shida kwa hiyo wacha nipite tu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
25 to 45 almost twenty years difference. Umenitia moyo coz am almost 30 yrs old nikajihisi nimechelewa kuoa, kumbe hata nikifika 35 to 45 naweza kuhitajika/kuoa bint wa 20s. UMENITIA MOYO.

ALL THE BEST. HOPE UTAMPATA NA ATAKUPENDA NA MTAJENGA FAMILIA BORA WITH BEAUTIFUL KIDS.

mkuu hiyo age aliyotaja kwa mawazo yake anaona ndio wametulia anahamini wakiwa kwenye ndoa ndo atakuwa mtulivi under 35 watakuwa wamemjerui sana moyo.wenye umri mdogo tutakoma wadogo wenzetu awatutaki ngojea nitafute mshuga mamy
 
Napita nkirudi nitakupa msimamo mzuri ingawa nakutakia Maisha Mwema na Mumeo mtarajiwa.
 
Babu! We thi tayari una mamsapu au?
Imani yangu na mila na desturi zetu hizinizuii kuoa mke wa pili. Mtoa mada kanipiga chini sababu ya udini, vipi weye Sabry001 waweza japo nifikiria kiduchu?:A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:
mkuu hiyo age aliyotaja kwa mawazo yake anaona ndio wametulia anahamini wakiwa kwenye ndoa ndo atakuwa mtulivi under 35 watakuwa wamemjerui sana moyo.wenye umri mdogo tutakoma wadogo wenzetu awatutaki ngojea nitafute mshuga mamy

tukiwa 18s tunasema ukifika around 25s ndo utakua umetulia, lakin tena inaonekana ukifika around 35 ndo unasema watakua wametulia....

mmmhh labda waliolewa na wanaume wakiwa kati ya 35 and above walithibitishe hilo
AU walioolewa na wanaume wakiwa chin ya 30s wathibitishe pia.
AU tumuulize mlengwa kwanin amechagua hiyo range 35-45 wakati yeye ni 25.
 
Sisi wenye sifa unazozitaja lakini bahati mbaya tukawa Walutheri ndo imekula kwetu? Sikujua Yesu wa kikatoliki siyo yuleyule wa kilutheri. Ndo nimejua leo.

hivi kumbe ulikuwa hujui eeh.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom