Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

Kwa nini huwa mnachelewesha matangazo haya? 24-27 yrs ilikuwa muda muafaqa kuleta hili tangazo! Btw all the best!
 
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.
Njoo inbox(Pm)tuongee
 
Chec
Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu.

Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30.

Mwenye nia ya dhati aniPM.[/QUOkTE]

Check me inbox...am so serious about you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom