Natafuta mume jamani mbona sipati

Mimi nakutaka kama utakuwa na sifa zifuatazo
Usiwe umejichumbua
Huvai mawigi
Si mlevi
Wala changudoa
Uwe alau umefika kidato cha sita
Dini kabila siangali
Kama unaona unazo sifa hizo nitafute
 
Hiyo sifa ya kwanza tu inaonesha hutafuti MUME
Nahc unatafuta COLGATE, maana ndio nyeupe, umri c chini ya miaka 30 na ndio inafanya biashara (watanzania wameajiriwa)
Usipate tabu nenda CHEMI & COTTEX. Bwahahahaaaa
 
Mazingira unayoishi kuanzia shuleni, chuoni, kazini na mitaani kwa ujumla ndio yatakufanya upate mume bora. Kuna kipindi ukikichezea basi tena huwezi kumpata aliye bora. Jiangalia kampani yako ikoje huko mitaani kwako, unamcha Mungu? Mavazi yako na tabia kwa ujumla ukoje? Una majivuno au kiburi? Umeshaachwa na wanamume wangapi na kwa sababu gani? Kama umeshachezea ujana wako umeshaomba toba ya kweli kwa Mungu wako na kutaka kufunguliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom