Natafuta mume jamani mbona sipati

Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu

unajitahiid kweli kutema madini ya kimwendo kasi
 
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Jinsi ulivyo andika inaonesha unaitaj maitaj ya ndoa na syo ndoa tena umri unao taka tumesha owa ukimpata ujue "gari la mwendo kas i"
 
Pole....
Ningekua mwanaume ningekuoa ue ata sugar mummy ....
Seems uko desperate sana ...
 
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Napata ukakasi hapa kwa (aliyeajiriwa)////hash///tag/// kuna uhusiano gani kat ya malavidavi na ajira au biashara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom