Natafuta mume (H I V + )

Mimi natoa hela jeneza , sanda na funeral van ya usafiri...
Sikujua Kuna watu wenye kufuru hivi, mkuu kua makini na misemo yako unaweza ufe umtangulie wote ni safari moja, Kuna wanaolala hawaamki, Kuna ajali Kuna magonjwa, pia kwanza umepima,? angalia usije ukaupata hata ndani ya ndoa hujafa hujaumbika
 
Naona kila dalili za kupata mwenzi wako
Usisahau kuja kuomba mchango wa harusi ukishampata mwenzi wako
Sitaki tujuane chakufanya wewe ni kuweka namba ya simu hapa hakika nitakutumia mchango wangu wa harusi yako
Mwenyezi Mungu akupe haja ya moyo wako
Mungu akubariki
 
Mimi natoa hela jeneza , sanda na funeral van ya usafiri...
Hakuna binadamu alie saini mkataba na Mungu kuwa yeye ataishi Milelee sio vzuri na naomba ukumbuke katika hii dunia hakuna alieumbwa special kwa matatizo tatzo htokea mda wwte

sijapenda kauli hii hata kidogo ukiona ww unaishi maisha ya furaha Mshukuru Mungu Lakini furaha ykoo isiwee kero kwa watu

Binadamu tunajisahau sana dahh hivii hatujui dunia haina mwnye nayooo???
 
Asante kwa kumkumbusha, maneno ya hekma ubarikiwe
 
Dada Mungu awe kiongozi wako katika hili na akupe sawa na haja ya moyo wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom