Natafuta mume (H I V + )

Hi guys, natafuta mume awe HIV+
Umri kati ya 30-35,awe anafanya kazi,na awe serious na maisha binafsi mm nina umri wa miaka 27, ni H I V + ni mwajiriwa wa serikali nipo Kilimanjaro,kwa m2 alie tayari na vigezo hivyo njoo pm au tumia email glorianganga3@gmail
Ni wachache sana wako open kama wewe. Mungu akupeujasiri kwa maamuzi uliyochukua
 
Naona kila dalili za kupata mwenzi wako
Usisahau kuja kuomba mchango wa harusi ukishampata mwenzi wako
Sitaki tujuane chakufanya wewe ni kuweka namba ya simu hapa hakika nitakutumia mchango wangu wa harusi yako
Mwenyezi Mungu akupe haja ya moyo wako
 
Niko series glorianganga tumia namba hii kwa Whatssapp,na taraji sunday itarudi Mbeya Kazini likizo imeisha.
 
Mama wala usibague we jichukulie yeyote aliyepo jirani yako maana wanaume wote ni positive
ImageUploadedByJamiiForums1453372573.408297.jpg
 
watu wanakufa daily kwa malaria, ajali, homa wanawaachahao + jeneza andaa tu waweza tangulia wewe ukalitumia mkuu kifo hakina huruma( in remy ongala voice)
Msamehe bure dada yangu, watu kama hao ndo wenye kufanya dunia kuwa mahali pazuri pa kuishi, maisha yangebore sana endapo wote tungekuwa na mawazo yenye kufanana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom