Natafuta mume aliye serious

Natafuta mume wa kunioa, awe mkristo
Elimu: Diploma na kuendelea
Kazi: Awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato,
Mwonekano: Asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana.
Sehemu: Awe anaishi Dar, Moro, Pwani, Tanga, Moshi & Arusha
Umri: 28-32


WASIFU WANGU
DINI: Mkristo
Umri: 25
Kazi: Muajiriwa serikalini
Mkoa: Tanga
Muonekano: Mwembamba maji ya kunde urefu cm160

Note: Waalimu wa primary hawaruhusiwi
Aliye tayari na mwenye sifa ani PM
nicheki 0742 56 88 39.. tufanye maisha. sijaoa
 
Natafuta mume wa kunioa, awe mkristo
Elimu: Diploma na kuendelea
Kazi: Awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato,
Mwonekano: Asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana.
Sehemu: Awe anaishi Dar, Moro, Pwani, Tanga, Moshi & Arusha
Umri: 28-32


WASIFU WANGU
DINI: Mkristo
Umri: 25
Kazi: Muajiriwa serikalini
Mkoa: Tanga
Muonekano: Mwembamba maji ya kunde urefu cm160

Note: Waalimu wa primary hawaruhusiwi
Aliye tayari na mwenye sifa ani PM
Vipi miner Je!..
 
KIBAYA CHAJITEMBEZA...
Umedoda dada!.Hadi unakuja kutafuta wanaume humu?!.
Maana yake umetafuta kazini kwako,mtaani kwako UMESHINDWA.
In african cuture...dada hatafuti ila anatafutwa.Mwanaume raha yake ni pale anapomhangaikia mdada for months ndo ampate.....
Hata ukipata mwanaume toka humu atakuja akuchungulie tuu umetumika kiasi gani afu anasepa.
ACHA DHARAU.
Kuna walimu wa primary wana life bomba kuliko professor.Asiwe mfupi;wewe ulijiumba?.MBONA unaombwa kutongozwa/tongoza?.

NI SAA YA MABADILIKO,ACHA KUTONGOZA;ANDAA KIKATIO
Anaonesha jinsi gani ni Malaya wa kutupwa na wembamba wake umepitiliza ka sindano ya kushonea koti ndo maana anapitwa tu hadi anaanza kutongoza akaoge kwanza ndo arudi huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom