Natafuta mtu wa kununua asali ya Nyuki wadogo kwa bei ya jumla toka honey spring

cheseo

Member
Sep 21, 2011
80
21
Nina kampuni ya kuuza ASALI inaitwa HONEY SPRING iliyopo Morogoro Mjini na ninauza ASALI YA NYUKI WADOGO toka TABORA.

Natafuta mjasiriamali aliepo ARUSHA MJINI nifanye nae biashara kutokana na uwepo wa wateja wengi wa ASALI YA NYUKI WADOGO.

Tuwasiliane kupitia 0683370065 au 0769129351 au anaweza tembelea page yangu kuona product zangu zaidi facebook.com/honeyspring12
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    57.1 KB · Views: 121
Back
Top Bottom