natafuta mtu wa kumpenda naye anipende!!

jepro

Member
Oct 28, 2011
90
6
mimi ni kijana(ME) umri 23 nipo chuo mwaka wa 3 Bsc.IT natafuta wa ubavu ataye nipenda nami nitampenda daima then nipo tayari kuwa naye kiuchumba na mwishowe tufunge ndoa!! find me facebook edwin jepro au email edwinjepro@yahoo.com au 0714133166 pamoja xana wadau wa JF
 
NATAFUTA MKE WA KUOWA.
AWE NA SIFA ANAZOSTAHILI KUPEWA MWANAMKE.
KAMA UPO TAYARI KONTAKT ME VIA 0762-945313,dr_pangani@yahoo.com or join FB Dkt Sibuga Pangani.
NIPO SERIOUS NA KAMA UMEAJIRIWA USIPATE SHIDA

ha ha ha ha ha ha mbona unapitia mgongo m2?
 
pita masokoni, maeneo ya stendi, kwenye mikutano ya chadema ukifika huko paza sauti ya juu useme "NATAFUTA WA KUNIPENDA NANI NITAMPENDA" utapata mpaka wa reserve
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom