Natafuta mtu atakaeniiuzia samaki za jumla jamani kwa bei nzuri

Nik dar/mbezi beach

aina -sato/sangara

bei nzuri afordable
 
mambo Pdd hata mimi natafuta hao samaki tafadhali ukipata usikose kuniarifu nami kwa kuniPM nipo kinondoni mkwajuni

Bado unahitaji sangara?
Niko mwanza na nashughulika na biashara ya sangara, kama unahitaji call me on 0767659145, PM or email to alphonce@alphonce.net
 
Back
Top Bottom