natafuta mtoto beibeee

Gender yako pls! Thn unatafuta mtoto kwa maana unahitaji mimba kwanza ili ikupatie mtoto au nivipi ? Fafanuka awali ya yote .
 
kazi ipo sasa kama ulikokatiza hujaona humu ambapo hatuonani ndo utapata,mapenzi ya kimtandao zaidi.anyway kila la kheri:confused2:
 
haya chuchuchu hizo hapo,chagua m1 nikupe contact zake
cant_afford_me.jpg

2_2.jpg

Ugly-Women-2.jpg

Ugly-Woman-with-creepy-eyes2.jpg
 
Mi nilifiri unahitaji kubeba mimba manake speed niliyokuja nayo ingesha nasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom