Natafuta mteja range rover for sale ya mwaka 2004

gemstone

New Member
Oct 16, 2012
3
0
natafuta mteja nauza range rover ya mwaka 2004 kwa shilingi milioni 65 kama kuna mtu yeyote anafahamu mtu mwenye kutaka kununua tafadhali wasiliana na mimi namba yangu ni +44 7838018238 (uk) 659199323 (tanzania) imesha pata namba kodi imelipiwa.
 

Attachments

  • FOR SALE.jpg
    FOR SALE.jpg
    6.7 KB · Views: 405
  • FOR SALE 2.jpg
    FOR SALE 2.jpg
    6.6 KB · Views: 399
mkuu mimi ni dalali na nina mteja wa hiyo gari , ktk hiyo 65 vp mambo ya ushuru na kutoka gari? vipo kwenye hiyo pesa au mteja atalazimika kulipa huku, kama atalipa ni kiasi gani? kama vipi litume huku sisi tutaliuza
 
Mkuu kama nimekuelewa ni kwamba hii 65ml ndo bei ya kuuza kwani kodi zote zimekwishalipwa na gari limesajiliwa hapa tz na liko tz na siyo vinginevyo. Nimeona picha nikajua ni pale naniiino. Mi ebu niwazunguukie masela nikirudi nachukua mzigo!
 
Sawa dalali hiyo gari iko hapo dar imeshalipiwa ushuru, piga hiyo simu ya tanznia ongea na mhusika nilie muachia hiyo gari atakupa maelezo yote.Thanks
 
natafuta mteja nauza range rover ya mwaka 2004 kwa shilingi milioni 65 kama kuna mtu yeyote anafahamu mtu mwenye kutaka kununua tafadhali wasiliana na mimi namba yangu ni +44 7838018238 (uk) 659199323 (tanzania) imesha pata namba kodi imelipiwa.

A 2004 range Rover cannot be worth over $41,000 hata kama ni Bongo, and all duties paid.

In the US you can purchase a low mileage 2004 Range Rover HSE for just over $10,000, and a almost new 2010 Range Rover HSE Supercharged for much less than $41,000.
 
Nnnayo hii, nataka Millioni Arubaini na TANO Tuu. Natoa Mechanical Guarantee ya miezi 6.
2004_landrover_range-rover_4dr-suv_hse_fq_oem_1_500.jpg

 
Ni sawa sawa kabisa hiyo imeshasajiliwa tayari, kama ukiwa tayari niambie au wasiliana na huyo niliemuachia majukumu bei tunaweza kuongea haina shida
 
Back
Top Bottom