Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Habari wandugu,

Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina kwa ufasaha, kuna kazi (Temporary) ya kufanya.

Ambae anahisi anaweza tafadhali anicheki: 0798 020 176.
 
Kumbe inalipa, kuna wachina wamekuja kufundisha kichina huku bure, itabidi nihudhurie darasa
 
Habari wandugu,

Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina kwa ufasaha, kuna kazi (Temporary) ya kufanya.

Ambae anahisi anaweza tafadhali anicheki: 0798 020 176.
Yupo. Ila kuwa wazi. Kazi gani, ya muda gani. Na offer yako ni kiasi gani.
Ninaye mtu professional. Anaishi China na kwa sasa yuko hapa kwa likizo fupi.
Ukitoa details za activity atatathmini kama itakuwa na maslahi kwake au hapana.
 
Habari wandugu,

Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina kwa ufasaha, kuna kazi (Temporary) ya kufanya.

Ambae anahisi anaweza tafadhali anicheki: 0798 020 176.
Nǐ huì duōshǎo qián fù gěi wǒ?
Xūyào huā duō cháng shíjiān?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Habari wandugu,

Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina kwa ufasaha, kuna kazi (Temporary) ya kufanya.

Ambae anahisi anaweza tafadhali anicheki: 0798 020 176.

MKUU
AKIHITAJIKA MTANZANIA ANAYEWEZA KUONGEA KISWAHILI SANIFU, FASAHA NA NYOOFU,

NISH'TUE.

MAANA'KE ND'O MAMBO YANGU HAYO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom