Natafuta mtaalamu wa kuchora/kutengeneza ramani za kijiografia

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam wanaJamiiForums!Nahitaji kuchorewa na kutengenezewa ramani ya kijiografia (geographical map),ambayo itatumika kuelezea mahala (to describe geographical location).Kwa yeyote anaeweza kufanya hiyo kazi,tafadhali tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya majidiliano zaidi.Hata kama kuna yeyote anaemfahamu mtu anaeweza kufanya hiyo kazi,tafadhali tuwasiliane pia kwa PM kwa mawasiliano zaidi.Asanteni.

Nime-attach mifano ya aina ya ramani ninayoihitaji.
 

Attachments

  • Map 1.jpg
    Map 1.jpg
    92.2 KB · Views: 55
  • Map 2.jpg
    Map 2.jpg
    64.5 KB · Views: 52
  • Map 3.jpg
    Map 3.jpg
    98.7 KB · Views: 46
  • Map 4.jpg
    Map 4.jpg
    24.4 KB · Views: 43
Back
Top Bottom