Natafuta Msichana wa kutoka naye Out

Ikumbilo

JF-Expert Member
May 14, 2010
456
64
Wiki nimekuwa nikiangaika sana na kazi za kujenga taifa. Sasa nimeona niweke fursa hii japo niende nikajiliwaze Beach huku nikikata story na msichana yeyote bila kujali kubagua. hata wakiwa zaidi ya kumi ni sawa tu.

Kama utakuwa tayari waweza sema sasa. Kwa utaraibu zaidi.
 
aaah....afadhali umetokea.....nilivyochacha........uko wapi nije tuendelee kulipa kodi......?
 
Nipo mitaa ya hapa karibia na alipokuwa anakaa Mwl. JK enzi zile naelekea Msasani..... kama waweza kuja njoo....

aaah....afadhali umetokea.....nilivyochacha........uko wapi nije tuendelee kulipa kodi......?
 
toka basi....nipo hapa nje na babaj ya njano......

Ok, umekuwa wa kwanza kufika basi mwambie muhudumu akulete tupo upande karibia na bahari, sasa nasubiria wengine tisa. Jamani people njoo tu nafasi bado zipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom