natafuta msichana umri kati ya 18-25

Status
Not open for further replies.

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
my name is Elton,a male aged 27 now working with a certan company here in town, i am looking for a very decent, respectiful, charming, a little bit tall with a good fig and who is a form six.........to univesity level, msichana ambaye we can sit down and agree with long nad short term plans about life and relationship too, who can bring positive challenge in our relation, a girl who knows exactly what is life and love, who is ready to make a blood test, the one who is honestly in love, any who is interested please com with me, my cell no is 0784-967080
 
Sifa za msichana umetoa...zako ziko wapi?!Au kua na kazi inatosha...?!
 
kaka unatafuta sifa za msichana badala ya kumuomba mungu akutangulie uweze kuwa na mtu utakaye elewana nae okay tafuta sifa utazipata ila usimuolee kwa kuwa anazo sifa la siivyo utajuta
 
dah.!!! Blood test, hapo ndo umealibu.. Hupati mtu labda uedit kwanza
Junior!ajaalibu maana kuna baadhi ya vibinti navyo vinatabia hiii.utasikia twende tukapime,siku ukimkandamiza tu mara moja swala la kupima alipo tena,na mnaendelea kukandamizana hivyo hivyo bila kupima,na hatimaye utasika tu Dad tumbo mara hivi mara vile ujue tayari kapregnant kameshika.
 
Wawili kati yao walikua wananilazimisha niwaoe sema nawastahi tu siwezi kuwataja majina.

Inategemea
huwezi kumuibua mtu kwenye mtandao ghafla mpendane ghafla muanze mipango ya ndoa
wewe sema unatafuta watu wa kusghare nao starehe zako na sio real wife over mtandao tena kama hapa ambako hata sura hujui
may be facebook huko
 
Inategemea
huwezi kumuibua mtu kwenye mtandao ghafla mpendane ghafla muanze mipango ya ndoa
wewe sema unatafuta watu wa kusghare nao starehe zako na sio real wife over mtandao tena kama hapa ambako hata sura hujui
may be facebook huko

mbona ulaya imewezekana hiyo nahuku kwetu imekuwa kama ulaya kutokana na utandawazi
 
mbona ulaya imewezekana hiyo nahuku kwetu imekuwa kama ulaya kutokana na utandawazi

Imekuwa kama " na hiyo ni kuiga na kama umekaa kwenye jumuiya kama shule, chuo, kazini, mtaani kote hujaona wa kukupenda mpaka uje utangaze mtandaoni utakuwa na shida fulani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom