natafuta mrembo wa kunisaidia kugawa zawadi za xmas

cheusi acha utundu...........!

sio utundu faza,nilikua najaribu kukwambia uwe specific,kama una taka mke sema tena kwa sauti ya juu,hata kama wengine watakuponda ucjali,kama unatafuta rafiki wa kawaida sema pia,mie nayachukualia kwa heshima matangazo yote ya watu wanaotafuta wachumba sbb ni bora wao wameamua kuwa serious kuliko wale maplayers.japo wengine wanajifanya kuponda lkn si ajabu hata wao wanahitaji wenza so mnaotafuta msife moyo maana mkipata mwenza ni hao hao wanawaponda watawaonea wivu.maisha ya leo yamebadilika sio ajabu kutafuta mke online ,so father feel free kunyoosha lugha yako naweza kuwa wa kwanza kutuma maombi japo sijui kama nina hizo sifa za hiyo 'cocktail' y wos,fl1 na queenkami.
 
mabachelor wa jf bwana mnaniachaga hoi.hivi kwani ukiandika tu jamani eeh natafuta mwenza niko single kitaharibika nini.
haya father check inbox yako labda naweza kusaidia kugawa hizo zawadi.

Hivi wewe Cheusimangala hiyo avatar yako mimi inanimaliza???? hivi wewe ndo upo hivyo live??? koz huo mgongo mie hoi....dah...
 
Hivi wewe Cheusimangala hiyo avatar yako mimi inanimaliza???? hivi wewe ndo upo hivyo live??? koz huo mgongo mie hoi....dah...

hapana mie siko hivyo mpendwa wangu,mie mgongo wangu halisi hauna tofauti na meza ya kupigia pasi.kwani huo mgongo ktk avatar una nini cha ajabu.
 
Hivi wewe Cheusimangala hiyo avatar yako mimi inanimaliza???? hivi wewe ndo upo hivyo live??? koz huo mgongo mie hoi....dah...

Picha ya cheusi naona kama ubavu ubavu vile najitahidi kuchungulia mgongo mbado kuuona mkuu nisaidie !
 
ah ah ah hapa hakuna cha mzee wala kijana ndugu!lol angalia lkn zawadi nyengine chungu
 
]tetetetethhh warembo wapo wengi bwana si usiende kutafuta mwenyewe au unaogopaaa!!! nakutakia x-mas njema na mrembo utakaye mpata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom