Natafuta Mpenzi

Hello JF?

Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-

JINSIA : MWANAMKE (asiye kwenye ndoa)
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali
DINI: Mkristo
WASIFU: Mzuri wa umbo, asiwe mnene wala mwembamba sana,mwenye kimo cha wastani, mweupe au maji ya kunde
MAHALI: Dar es Salaam au Mikoa ya Jirani
MALENGO: Ndoa (Baadaye)

Tafadhali wale walio serious tu wani-pm kwa mawasiliano zaidi.

Mkuu hapo nilipokuwekea red was this necessary!!......is it possible utafute mchumba ambaye yupo kwenye ndoa?
 
Na atakayejitokeza hakikisha anakuja na birth certificate original manake siku hizi hawaaminiki mara 18 mara 16....
 
Naitwa sylvatory(26) nipo morogoro natafuta anaetaka kupewa penzi la dhati cna vigezo maadamu tupeane bila hiana alie serious anicheki 0714455551
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom