Natafuta Mpenzi

SJUMAA26

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
607
167
Hello JF?

Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-

JINSIA : MWANAMKE (asiye kwenye ndoa)
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali
DINI: Mkristo
WASIFU: Mzuri wa umbo, asiwe mnene wala mwembamba sana,mwenye kimo cha wastani, mweupe au maji ya kunde
MAHALI: Dar es Salaam au Mikoa ya Jirani
MALENGO: Ndoa (Baadaye)

Tafadhali wale walio serious tu wani-pm kwa mawasiliano zaidi.
 
Mtaani unapoishi hakuna mademu kabisa?
 
Umenidhalilisha sana, umenionea sana, umenisababishia moyo konkasheni baada ya kusema asiwe mradi sura.

Kwa nini umenitahadharisha kuhusu sura??

Kwa taarifa yako, mie ni mzuri kuliko Remmy Ongala.
nina digrii 3, ninakampuni za export na import.

Umri wangu ni mdogo kuliko Lulu.

Ila sikutaki maana ushanzarau.

Mi ni mwanaume 28 yrs; ni mfanyakazi; nina degree moja; urefu wa wastani; mkristo na naishi Dar.

Mpenzi wangu kwakweli sharti awe mrembo, si ilimradi sura tu.
 
  • Thanks
Reactions: b2k

Duh! Kwa umri huo na makampuni yote hayo???????............. Lazima utakuwa ni kimada wa Ray na hizo degree zako za ch.pi sizitaki! Tena utakuta ni za Vodafasta!

Kwa mantiki hiyo basi, potea na mimi sikukutaka, sikutaki na wala sitakutaka kamwe!!!!!!!!!!!!!
 
sizitaki mbichi hizi.

Duh! Kwa umri huo na makampuni yote hayo???????............. Lazima utakuwa ni kimada wa Ray na hizo degree zako za ch.pi sizitaki! Tena utakuta ni za Vodafasta!

Kwa mantiki hiyo basi, potea na mimi sikukutaka, sikutaki na wala sitakutaka kamwe!!!!!!!!!!!!!
 
Mi ni mwanaume 28 yrs; ni mfanyakazi; nina degree moja; urefu wa wastani; mkristo na naishi Dar.

Mpenzi wangu kwakweli sharti awe mrembo, si ilimradi sura tu.

pitia u turn nasikia wapo wa kila aina mkuu ni wewe tu..
 
Mi ni mwanaume 28 yrs; ni mfanyakazi; nina degree moja; urefu wa wastani; mkristo na naishi Dar.

Mpenzi wangu kwakweli sharti awe mrembo, si ilimradi sura tu.

Nina ndugu yangu ana miaka 42, naku-pm namba yake mshindane coz ana vigezo vyoote ulivyotaja, tena ana Phd. Kaz kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom