Natafuta mpenzi

bwa mdogo anahitaji msaada wajameni..ok ngoja nimwambie asikutafte kabsaaaa!

Sasa msaada siunapatikana kwa masingo?Kwanza mtu mwenyewe kaweka ombi alaf kakimbia badala yakulinda lango akisubiria bahati yake!
 
mpenzi hatafutwi. hebu geuka nyuma na pembeni angalia wanaokuzunguka utawaona uwapendao na wakupendao kisha muombe Mungu akusaidie kuchagua mmoja sio kuja huku amabako hata sie tuliopo hutujui

itakuwa dhihaka kwa Mungu kuomba kwa ajili ya hao. lakini bro kama ni hao si hata ohio street wapo unajichagulia mwenyewe? kwa nini uhangaike na huku JF?
 
dah!!jamaa si alikuwa ana tafutaa kamaa atapata mwambieni....duh
 
mabata madogo dogooooo yanaogeleaaaaaaaaaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuuuuuri la bustaniiiiiiiii....yanapendaaaaaaaa ku.......!!!!!

Maua mazuuuriii yapendeeezaaaa!

Kila ukiyatazamaaaa...yanameremeteetaa...!

Umenkumbusha enzi hizo.
Sijui kama kuna siri ya hizo nyimbo!
 
naitwa kenedy natafuta mpenz awe mweupe au maji ya kunde.miaka 18-23.ntampenda kwa dhati.thanks

Weka zaidi Details zako...awe mwenyeji wa wapi?
Awe ana advance level?
........
........
.........
Dini ndio huchagui?
 
si unaona mwenyewe, wanavomwimbia nyimbo za kitoto.
Ina maana huku wote ni above 23.

ikitokea ukawa NJE YA vyumba viwili tofauti
chumba kimoja ukasikia nyimbo za mabata madogo
na chumba cha pili kukawa kimya
halafu ukaulizwa chumba kipi kina teenagers
je utajibu vipi? Unachosikia nyimbo za mabata au kile kilicho kimya

NEVER OVERLOOK THE POWER OF SIMPLICITY
 
naitwa kenedy natafuta mpenz awe mweupe au maji ya kunde.miaka 18-23.ntampenda kwa dhati.thanks
angalia kijana humu sio kwa kutafutia wachumba..........................nenda uwanja wa f..si najua una njaaa 2 we bwamdogo ila sio kweli ka una nia ya dhati na huyo mchumba
 
ikitokea ukawa NJE YA vyumba viwili tofauti
chumba kimoja ukasikia nyimbo za mabata madogo
na chumba cha pili kukawa kimya
halafu ukaulizwa chumba kipi kina teenagers
je utajibu vipi? Unachosikia nyimbo za mabata au kile kilicho kimya

NEVER OVERLOOK THE POWER OF SIMPLICITY

Kwa mifano wa nena nami nimekuelewa.
Kwa maana hiyo hizi nyimbo ni kama ile wasemayo, kelele za chura hazimnyimi,
tembo kunywa maji mtoni.

haha imekupata hashycool.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom