natafuta mpenzi mkwel mm ni mgeni dar nina mwez tu

kuna sehemu kadhaa za kupata mpenzi/mke wa dhati... sewa baa buguruni au jolly klabu... sehemu mwanana sana hizi
 
usingesema wewe ni mgeni,utachunwa mpaka senti ya mwisho lol....sie wote wageni dar wenyeji wazaramo peke yao......utazoea tu jiamini.
 
usingesema wewe ni mgeni,utachunwa mpaka senti ya mwisho lol....sie wote wageni dar wenyeji wazaramo peke yao......utazoea tu jiamini.


Kijana naona analiingia jiji kwa pupa........anyway he either learn the hardway or the easyway.....well only time will tell:bathbaby:
 
mkuu si wote walio na uwezo wa kuchungulia jf jaribu kujitangaza zaidi hata kwa kuuza nyago kwenye mabango ili uwape fursa na wengine pia. ni ushauri tu!
 
PM me bt ctaki wivu wa kitoto na kufuatiliana fuatiliana. cpend maswali kuhusu lyf yangu yangu pia
 
Mmmmh umefika kwa watoto wa mujini, usiwe na shaka penzi utalipata!

Sio Penzi sema Nyuchi atapata but awe makini asije liwa kiboga as watoto wazuri wanamilikiwa na wenye pesa za Benno Ndulu, hawaogopi chochote kama chenji wanazo tena za Motomoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom