Natafuta mpenz jamani

unasalio la kutosha manake hapa mujini msichana atadai les wig 200,000/= , make up Mac studio fix 70,000/= na pamba za ukweli, voucher na hela za matumizi ya hapa na pale asa can you afford these ? kajipange kwanza other wise utamaliza boom lako bure , hivi vitu bana vinakuja automatically vyenyewe tu vuta subra huenda ukapata ila uwe makini unaweza chunwa hadi boxer chezea watoto wa mujini ohhoo

Huyo atakuwa malaya aka muuzaji
 
Huku JF Mie ndo namiliki mabinti wote kama ulikuwa hujui.... sema unamtaka nani kati ya
1. ummu kulthum (mwembamba mrefu, mwandishi wa habari Nipashe)
2 Madame B (Mfupi mnene mweupe, Meneja wa vinywaji na chakula New Africa Hotel)
3. charminglady (Yuko form two B Jangwani secondary)
4. CUTE (Mwimba taarab wa TOT)
5. beibe nasty (Mchezaji, twiga stars)
6. Blue G (mwalimu wa nasare skuli)
7. Preta (Askari Magereza, gereza la Keko)
8. sweetlady (mwanakwaya St. Joseph)
9. Blaki Womani (afisa uhusiano CRDB bank)

Niendelee au utachaguamo mmoja kati ya hao?

Aisee Jitahidi kuongeza hii orodha labda na mimi naweza pata mwana JF mmoja hapa, maana huwa napenda sana kupata msichana ambae ni mwalimu tena hasa wale walimu wa nursery school
 
hahahaha wifi unamambo mzima wewe ....... anayetafuta mwenyewe hajui anataka nini

Mi mzima dia......huyu anaangalia na vyeo vya watu lol....huoni mie mwimba kwaya kaniacha tehe tehe!.....huyu Asprin mbaya kweli yaani kanikosesha bahati hivi hivi !
 
Last edited by a moderator:
Mi mzima dia......huyu anaangalia na vyeo vya watu lol....huoni mie mwimba kwaya kaniacha tehe tehe!.....huyu Asprin mbaya kweli yaani kanikosesha bahati hivi hivi !
We huogopi haya makitu?


attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom