Natafuta mpenz jamani

ha ha ha ha me sitaki wapenzi wengi nataka mmoja tu! Nkiweka picha si watakuja weng bule!
Yuuuuuuuuummy!!!!!!!!!! mpaka hapo mie nasamehe,nawaachia wenzangu mambo yakutafuta jeki yakuzuia tumbo huyo inachelewesha kazi........
 
hata ungeniakikshia kwa kuapa kujikata na kisu wewe sio Mungu ntapata tu! Labda uwe ndo mgawa wapenz apa jf, 2ambizane maana mie mgeni umu
Huku JF Mie ndo namiliki mabinti wote kama ulikuwa hujui.... sema unamtaka nani kati ya
1. ummu kulthum (mwembamba mrefu, mwandishi wa habari Nipashe)
2 Madame B (Mfupi mnene mweupe, Meneja wa vinywaji na chakula New Africa Hotel)
3. charminglady (Yuko form two B Jangwani secondary)
4. CUTE (Mwimba taarab wa TOT)
5. beibe nasty (Mchezaji, twiga stars)
6. Blue G (mwalimu wa nasare skuli)
7. Preta (Askari Magereza, gereza la Keko)
8. sweetlady (mwanakwaya St. Joseph)
9. Blaki Womani (afisa uhusiano CRDB bank)

Niendelee au utachaguamo mmoja kati ya hao?
 
Last edited by a moderator:

labda unipe nafasi ya kuchagua wa3 m1 hanitosh ktk hyo list yko
 
Last edited by a moderator:
we Asprin tokea lini mwanaume akawa mbyutiful?hebu mtake radhi mwenzio.

kaaazi kweli kweli lugha za watu bana inawezekana hajui maana ya mbyutiful

\Nyie watu wawili hapo juu mwanchekesha sana. Ni wapi kasema yeye ni mwanaume? kasema yeye ni MEN, kwa maana ya kuwa hii thread imeandikwa na mtu mmoja mmejuaje jinsia yake? MEN inaweza kuwa ni jina lake jamani. Au hamjui tofauti ya MAN na MEN?
Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
 
Huku JF Mie ndo namiliki mabinti wote kama ulikuwa hujui.... sema unamtaka nani kati ya
1. ummu kulthum (mwembamba mrefu, mwandishi wa habari Nipashe)
2 Madame B (Mfupi mnene mweupe, Meneja wa vinywaji na chakula New Africa Hotel)
3. charminglady (Yuko form two B Jangwani secondary)
4. CUTE (Mwimba taarab wa TOT)
5. beibe nasty (Mchezaji, twiga stars)
6. Blue G (mwalimu wa nasare skuli)
7. Preta (Askari Magereza, gereza la Keko)
8. sweetlady (mwanakwaya St. Joseph)
9. Blaki Womani (afisa uhusiano CRDB bank)

Niendelee au utachaguamo mmoja kati ya hao?

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we mtu weweeeeeeeee............
 
Hahahaha...kama mwanaume anaweza kuwa MEN, atashindwaje kuwa mbyutiful? Afu wifey bana kila napopita unafuata nyayo zangu? Wako wapi Yummy, BADILI TABIA na Kongosho? Waambie wasije hapa wasije wakanaswa na huyu mtongozaji wa dot com.
umeona eeee!! nikiingia tu jamvini, naanza kuangaza ulipo, mtu na mtuwe babu eee!!!
 
Huku JF Mie ndo namiliki mabinti wote kama ulikuwa hujui.... sema unamtaka nani kati ya
1. ummu kulthum (mwembamba mrefu, mwandishi wa habari Nipashe)
2 Madame B (Mfupi mnene mweupe, Meneja wa vinywaji na chakula New Africa Hotel)
3. charminglady (Yuko form two B Jangwani secondary)
4. CUTE (Mwimba taarab wa TOT)
5. beibe nasty (Mchezaji, twiga stars)
6. Blue G (mwalimu wa nasare skuli)
7. Preta (Askari Magereza, gereza la Keko)
8. sweetlady (mwanakwaya St. Joseph)
9. Blaki Womani (afisa uhusiano CRDB bank)

Niendelee au utachaguamo mmoja kati ya hao?

madame B na charminglady
 
Last edited by a moderator:
Aya mimi ni man natafuta mpenz awe mrembo na wakujielewa sifa zingie refer apo mwanzo wa thread! Apo vipi ombi litakubaliwa? Wakuu wa idala
 
Kweli maisha magumu ata kutafuta mpenz watu wanangalia CV yako, PICHA, BARUA USIKOSEE ATA NENO MOJA
 
Mkuu,hiyo itakuwa ngumu kufanikiwa!Yaani MEN anatafuta mpenzi;sasa si wataogopa kabisa.Nafikiri kwa usahihi ilipaswa iwe MAN anatafuta mpenzi.Kama mimi ninavyotafuta pia.
 
Sasa Kaka mbona hata unakotoka dini yako wala number ya cm wadada watavutiwaje na wewe?

dini mkristu, natoka africana bov namba ni PM alafu tutapena!
 
Attachments

  • Image0004.gif
    Image0004.gif
    11 KB · Views: 77

Similar Discussions

Back
Top Bottom