Natafuta mpango wa kando

Too late.......niko naye busy kwenye PM tayari...... Nshakwambiaga unoko hausaidii. Ishakula kwako mazima sasa!

Kinachofuata ni kuwafundisha wanawake roho ngumu tu. Jamaa akicheat once hamna msalie mtume unamrudisha kwao na mabegi kichwani
 
Nilikuwa narejelea hapo penye nyekundu. You can only feel he is perfect, you can never know....or you can believe he is perfect but you can never know that he is.

Ktk Mapenzi we go more with insticts which may be right or wrong.... Na ndo maana kuna umuhimu wa compromises... Na ndo maana kuna kutengana (pale the both of u mnaporealise u ar not meant kua)... That is why i used the word 'feel', for that is exactly the way i am feeling rite now - thus living the moment.... Kwamba yupo completly perfect? NO... Kwamba i feel he is perfect for me with his 'Imperfection'?? YES.... Thus the feeling.... Of him being PERFECT....
 
We are on the same page there .....its about feeling and not about knowing
 
Kinachofuata ni kuwafundisha wanawake roho ngumu tu. Jamaa akicheat once hamna msalie mtume unamrudisha kwao na mabegi kichwani
Unachosahau ni kuwa huwa tunacheat na hao hao wanawake.......... Even cheaters need to be loved LOL
 
Mwendo mbaya huachi, vinuni kutanga tanga
tena wala hujifichi, ukiuona mpunga
waingia kwenye vinu, wala hujui kutwanga

Akili zako ni changa, mambo unayavuruga
wala hujui kutwanga, mpunga unaumwaga

Babu si maneno yangu hayo ..........
 
Unachosahau ni kuwa huwa tunacheat na hao hao wanawake.......... Even cheaters need to be loved LOL

Gaijin umemuonea shem... Kwamba hajui mnacheat na wanawake? Alafu hili neno la cheating katika definition in relation na kulala na mtu ambae sio mwenza linabidi libadishwe sasa.... Kama vile hai qualify... (nipo njiani na via mob... nitakugongea like badae...lol)
 
Unachosahau ni kuwa huwa tunacheat na hao hao wanawake.......... Even cheaters need to be loved LOL

Mkiona wake zenu wanawafukuza wakijua kuhusu vimada mtaacha kuwa na nyumba ndogo.
 
wishful thinking... Si atahamia huko huko... Labda if he is nt worth it...

Ndio maana Nyani Ngabu akawa confused. Wanawake hamna msimamo na wanaume wanachukua advantage hiyo. Unadhani yeye ajue una mtu nje atakusamehe?

Sio kama duniani kuna mwanamme mmoja tu, akicheat mtimue baada ya kuchikua nusu ya Mali yake na child support. Itakuwa funzo kwa wengine

Ni adabu wanayopewa nchi za nje, na imesaidia sana

Btw sielewi mtu anaekuwa na nyumba ndogo anakuwaje na "worth"
 
Hivi tumefikia wapi tena? Nilikuwa busy nareview applications maana waombaji ni wengi kama waomba kazi...sasa natafuta panel ya interview...tafadhalini sana ambaye yuko tayari kunisaidia kazi hii
 
Ndio maana Nyani Ngabu akawa confused. Wanawake hamna msimamo na wanaume wanachukua advantage hiyo. Unadhani yeye ajue una mtu nje atakusamehe?

Sio kama duniani kuna mwanamme mmoja tu, akicheat mtimue baada ya kuchikua nusu ya Mali yake na child support. Itakuwa funzo kwa wengine

Ni adabu wanayopewa nchi za nje, na imesaidia sana

Btw sielewi mtu anaekuwa na nyumba ndogo anakuwaje na "worth"

Ubishani mkubwa ulitokea kushindwa eleweka na Ngabu na Masaki among others... I kno for a fact umesoma the whole thread hivo itakua rahisi... Gaijin kuna cheating... Nyumba ndogo is one of the form... I can not stand nyumba ndogo... But kama mme wangu ni worth it i can stand it if he has cheated (isiwe ni nyumba ndogo wala isijirudie; yaan mayb for the 2nd time).. Hio ndo tofauti... Maamuzi sio absolute... Inategemea a lot of underlying factors... If u stil don't get it plz tell...
 
Wewe unakubali za mara moja au mbili, mwengine anajustify mume kuwa na nyumba ndogo, kwangu hakuna tofauti.
 
Wewe unakubali za mara moja au mbili, mwengine anajustify mume kuwa na nyumba ndogo, kwangu hakuna tofauti.

Sasa hapo tatizo liko wapi hasa mnaposhindwa kunielewa?? Kwamba sababu zangu za maamuzi ya kuachana na Mume wangu hayako absolute just because to you it is the same thing??
 
Nini kinaendelea ba ndugu??

Naona dalili za mapinduzi somewhere!!!

Mzee DC... Kila kitu hapa ulimwenguni kitapinduliwa na mwanadamu kwa ujanja ama kualazimisha kwake... But a WOMAN will always be a woman.... AND a MAN will always be a Man....
 
Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.

Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.

Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.
Mhh!! Jamani Carmel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom