Natafuta Mme !

lohh dunia yetu ya sasa ina mamboo...yan huu ndo utandawazi haswaaa wanawake now wanajitongozesha.aiseee!
 
Kuna Jamaa Yangu Juzi Ameniambia Katika Simu Amekutana Na Mchumba Jambo Forum Lakini Kila Akitaka Kuonana Nae Basi Huyu Mwana Dada Huwa Anazima Simu Au Kubadili Namba Ya Simu
 
Kuna Jamaa Yangu Juzi Ameniambia Katika Simu Amekutana Na Mchumba Jambo Forum Lakini Kila Akitaka Kuonana Nae Basi Huyu Mwana Dada Huwa Anazima Simu Au Kubadili Namba Ya Simu

sasa alikwambia ni huyu?
 
Kuna Jamaa Yangu Juzi Ameniambia Katika Simu Amekutana Na Mchumba Jambo Forum Lakini Kila Akitaka Kuonana Nae Basi Huyu Mwana Dada Huwa Anazima Simu Au Kubadili Namba Ya Simu

Na kila akibadili number ya simu jamaa yako anaipata number ya huyo mwanadada?
 
Is this janja ya Nyani ili tukutumie emails zetu halafu tunase mtego wa Usalama wa Taifa??

Napenda sana wanawake but huwa silagi junk food. Labda wakwre wasioona mbele ndio watakaokutafuta.....

NAUNGANA NAWE HUYO ANATAKA LIST YA WANA JF HASA MLIO NA Phd, KAZI KWENU
 
Nadhani akikutana na mzee wa kujivisha mabomu ya mahaba (BRAZAMENI) wataelewana sana.

Ila najua kuna watu wazima humu na kuna vijana ambao hata jandoni hawajui ni mtaa gani, ila yote ni heri. wale wakware wenzangu angalieni sana hizi janja za kutafuta anuani zetu maana najua si furaha ya PINDA na wenzake jinsi tunavyojimwaga hapa. Cha msingi ukitaka binti mtanashati na mwenye naniliu ya kutosha wewe nenda vyuoni wapo wa PHD kibao hawajui watatupataje... ila na nyie mabinti wenye hamu ya kuolewa nawasihi muwe sicial maana mkijifanya mko uper grade mjue mtapata makombo na si vitu halisi......

Mbona SHY hajamalizia story yake??
 
Mbona Status yako ni BANNED.

Mkuu Invisible hembu tueleweshe, maana ninavyojua kwa maana yake hurusiwi kabisa kuwepo humu ndani sasa unatafuta mchumba ili akuombee msaamaha ili urudi au,

Tusalimie Kigoma.

pata flava hapo chini

NG'WALU said:
Re: Special Request!

kuna uwezo wa kuifungia pc yangu isiione JF page?

nadhani aliingia choo cha kiume hivyo akaomba atoke haraka sana.... kuna wengine wanadhani forums kama hizi ni sehemu za kusaka wachumba na masuala fulani ya mwilini. WALEGEE
 
Kuna Jamaa Yangu Juzi Ameniambia Katika Simu Amekutana Na Mchumba Jambo Forum Lakini Kila Akitaka Kuonana Nae Basi Huyu Mwana Dada Huwa Anazima Simu Au Kubadili Namba Ya Simu

Duh! mkuu wewe ndiyo unakutanaga tu na wahanga wa relations? Naona umeshadandia treni kwa mbele.Lol!
 
Huyo bibie asihofu, wengine we are trying to downsize. Sasa ninampa wangu. Ana sifa zote hizo ulizotaja ila bahati mbaya he does not look the look nor talk the talk. huyu hapa

470547931_84a2c5bbe4.jpg
 
Huyo bibie asihofu, wengine we are trying to downsize. Sasa ninampa wangu. Ana sifa zote hizo ulizotaja ila bahati mbaya he does not look the look nor talk the talk. huyu hapa

470547931_84a2c5bbe4.jpg

LOL! Bi Mkubwa ukishadown size nifahamishe....:) Vipi weekend? Ulienda kuiona sex and the city? Mimi niliiona jana siyo mbaya. Tafuta muda ukaione na jamaa kabla hujamdown size...:)
 
Thanks BAK, Kwa kweli sometimes downsizing saves a lot of energy. Sijaiona nina hamu sana kuiona, nitafanya kama ulivyonishauri.

Thanks....pssst! like your punch line at the bottom of your post.
 
mwenzangu utampata wapi?

humo simuoni

labda kwa kukusaidia ... mwisho mlionana lini na alivaa nguo za rangi gani?
 
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!

any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi

We unacho taka ni Masters au PhD? au mume!!?
wasiliana na mimi..sina PhD wala Diploma...lakini nitakupa pipe ya kukutosha kabisa kusahau nyegezako!!..........
 
Mimi n'nashida ya Mke ila kwakuwa wewe unataka Master ya Mtu na sio mapenzi ya kweli na kuaminiana na kupambana na Gonjwa hili la Ukimwi, Kwa kuwa mwadilifu kwa mwenza wako.......Sina sifa ya Master ila najua nntakuwa na mapenzi ya kweli , Binti Masanja angalia na maneno yako kwani sisi kama Waislam ambao nadhani nawewe ni Muumini ,Hapo umeteleza kidogo.....Pole sana !
 
Anaweza akawa na Masters kama ya Sumaye alafu akawa fisadi..alafu akakuharibia maisha...bora ungesema sifa ya mume mtalajiwa...ni asiwe fisadi...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom