Natafuta Mme !

Huyu ananikumbusha kule kwa Michuzi yule binti wa kichagga Manka aliyekuwa naye anatafuta mchumba ila CV alizo mwaga anazijua yeye mwenyewe dah kama mchumba anatafutwa kwa kuangalia sifa ya elimu basi hakuna UPENDO hapo ila ni bussiness tu..
 
Huyu naona hatafuti mume...hivi kwanini hii kasumba ya PHD,Masters...waitoa wapi hawa wakina dada siku hizi...wat it all that....education gat to do with love?

Love is not about education...dada mwenye jina gumu.Kuna watu wanafanya mambo yao kuliko hao unao wataka....kama ni swala la master basi kuna watu wana master za mapenzi vile vile....u will never regret kama utakavyo amua kuolewa na master ya masomo na sio ya mapenzi ya kweli...kutoka kwa mungu...na kama wewe ni msukumu.

Nafikili una tatizo hawako hivyo...just comment from your name...kwani wewe umesoma na mweupe ili tukuvalue na wewe kwa style hiyo...je una tumakalio?
Kwani na sie twataka masters zetu za namna hiyo....uffsss
 
Mkuu fidel80, hilo la business tu nalikataa, kuna wengine wana nia njema na wana maanisha wakitangazacho.

Ukiachilia Manka, kuna list ya wengine kwenye link hii hapa waweza kucheck: https://www.jamiiforums.com/showpost.php?p=169529&postcount=4

SteveD.
 
Huyu naona hatafuti mume...hivi kwanini hii kasumba ya PHD,Masters...waitoa wapi hawa wakina dada siku hizi...wat it all that....education gat to do with love?

Love is not about education...dada mwenye jina gumu.Kuna watu wanafanya mambo yao kuliko hao unao wataka....kama ni swala la master basi kuna watu wana master za mapenzi vile vile....u will never regret kama utakavyo amua kuolewa na master ya masomo na sio ya mapenzi ya kweli...kutoka kwa mungu...na kama wewe ni msukumu.

Nafikili una tatizo hawako hivyo...just comment from your name...kwani wewe umesoma na mweupe ili tukuvalue na wewe kwa style hiyo...je una tumakalio?
Kwani na sie twataka masters zetu za namna hiyo....uffsss
Jamani naamini mme wangu atakuwa na sifa hizo!na wewe kama wataka mke una sifa zako unamtaka aweje.Hivyo as far as ure not the one unataka kujua kama nina tumakalio ili iweje?
Atakaetakiwa kujua hivyo ni mme wangu!
unawajua wasukuma?sasa makalio nayo ni ya kuuliza?
 
nitamfahamu tu mme wangu!naamini yupo hapa!im serious!nitaondoka muda si mrefu on line naacha tena my mail add nmasanja1@gmail.com

Dada Ng'walu kwanza nikupongeze kwa kutafuta mume. Achana na wanaokudhihaki, najua utapata tu hapahapa.
Swali langu ni kwamba, mbona wewe hujaweka kiwango chako cha elimu? Una elimu gani?
Hope nitajibiwa
 
sasa SteveD unapo mtafuta mchumba lazima kuwe na kigezo cha masters?

Siyo lazima mkuu, ila kutokana na mazingira tuliyomo hivi sasa, hicho unaweza kuchukulia nikama ki-box kimojawapo tu mtu ana tick ili ku-refine zaidi search ya kati ya wale ambao angependa kukutana nao....na wakiwa kumi wote wenye 'masters' basi, anaweza akakaa nao wote hao katika maongezi na kuzidi kuelewana kwa undani kabla haja'bahatika' kumnyopoa aliye wake..

Ni sawa na kusema vile kimfano, wewe kama unafanya kazi kwenye jeshi la mgambo, urahisi wa kukutana na mwenza mwenye msimamo kama wako ndani ya jeshi hilo ni mkubwa zaidi. Na mtaelewana zaidi maana mtakuwa mnapikika chungu kimoja kwenye level ya uelewa.

Mkuu, naomba unisamehe maana sitoweza eleza sana hapa kwa sasa...

SteveD.
 
nitamfahamu tu mme wangu!naamini yupo hapa!im serious!nitaondoka muda si mrefu on line naacha tena my mail add nmasanja1@gmail.com

Is this janja ya Nyani ili tukutumie emails zetu halafu tunase mtego wa Usalama wa Taifa??

Napenda sana wanawake but huwa silagi junk food. Labda wakwre wasioona mbele ndio watakaokutafuta.....
 
Huyu sijui kaitoa wapi hii azma ya kuwa yeye ndio anataka tu.
Mbona yeye hasemi ni nini anacho kwenye kichwa chake.
Kwa mtizamo wa elimu aliyo nayo au ndio ana enjoy kuona tunachangia?

Harafu kakazana kweli mmewe yupo humu?Kwa uhakika kabisa...kama yumo awasiliane
nae sasa....
 
Is this janja ya Nyani ili tukutumie emails zetu halafu tunase mtego wa Usalama wa Taifa??

Napenda sana wanawake but huwa silagi junk food. Labda wakwre wasioona mbele ndio watakaokutafuta.....

hahaha mkuu hata mm hilo nimeliona sana ni janja ya nyani hii......kama kweli alikuwa anahitaji mchumba asingeweka kigezo cha masters eti ndio awe mme wake....hapo naona kuna kitu anatafuta huyu si bure.
 
Ngwalu,
Pole na hongera kwa kutoa dukuduku lako hadharani.
> nina maswali mawili matatu kwako:
1. Je ni kitu gani kimekufanya ufikirie kwamba mchumba au mume mzuri utampata JF?
2. Elimu ya masters, phd etc ina mchango gani katika maisha ya ndoa mpaka umeifanya kuwa kigezo cha kuchagua mume?
3. Wewe mwenyewe elimu yako umefikia kiwango gani?

i hope utanipa majibu!!

Mind you mimi sitafuti mke/ wala mchumba i'm just curious about this!

thanks
 
sure steveD some common level of understanding is vital BUT not mandatory. Ila kwenye maelewano ya dhati you can agree to understand each other's deficiency na kujaribu kuyasolve.

Ila ninashangazwa na wimbi la kina dada kutafuta wachumba via internet, Nachelea kuamini kama ni kweli kwa dhati wamedhamiria hivyo ama la. kwani kwa desturi halisi za mwafrika Na feminine nature ilivyo mwanamke/msichana hufuatwa, na tena sio na mtu mmoja. Msichana ni mtu wa soni, ambaye moyo wake u tayari kupokea na kutoa upendo. They are meant to be the prey not predators.

Unajua dadangu sisi waafrika akitokea mtu humu akasema amekudondokea mkakubaliana yaweza tokea siku kaogomvi kagodo tu akakubadilikia ooh si ulijitongozesha mwenyewe! na hilo si litakuwa tusi sana?

Ushauri wangu dada, Kama imani yako ikutumavyo kuwa una imani mumeo atakuwa na vigezo hivyo (umri na masters) basi endelea kumwomba Mungu wako ukutane na huyo mume kwa njia nzuri ambazo hazitadhihirisha kuwa wewe ndio mtongozaji? Mazingira yote ya elimu, nyumbani, sehemu za ibada, michezo, safari, mikutano kweli dadangu hamna mwenye uelekeo? nina imani ukifungua macho yako ya ndani wapo. Ila kama yote yalishindikana basi Internet iwe very Last option.
Kila la Kheri tafadhali angalia sana na watakaojitokeza, si kila awindaye ni simba dada.
 
Education In Tanzania Is Pathetic, And Yet People Tend To Be Academically Superior Than Others While If You Put A Half Schooled Man Together With The Self Proclaimed Academician On An Iq Test What You Get Is Kabich.

Mamaa Love Is Not Education, Your Proclivity Explicity Shows Your Lack Of Judgement.
 
Yaani hapa hata sielewi elewi...yaani umeshindwa kutongozwa huko mitaani kwa hiyo ukaamua kukuja hapa na kujitongozesha...?

Siamini siku hizi watu wanatoa matangazo ya kutafuta wanaume. Nilizoea matangazo ya nafasi za kazi na mengineyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom