Natafuta mke

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Salamu wadau natumaini wote mu wazima mimi ni mtanzania naishi na kufanya kazi Moshi, Kilimanjaro, nina miaka 37 sasa, mke ninayemtaka awe mkristu mwenye kujiheshimu. E-mail yangu ni peterchuwa@gmail.com
 
ungeniwai kidogo tu...navopenda watu wa kishimundu..nilipata huku juzijuzi
 
Hawezi kupata maana, mchaga toka lini akawa na polite language ambayo wanawake wengi wanapenda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom