Natafuta mke

ukipata mchumba/mke/mme kwenye jf/blog mbalimbali husikubali ku do mpaka ndoa kwanza vinginevyo haolewi mtu utalia na machoz yatakwenda na majiii
 
mi napenda ulivyofunguka.halafu eti wasichana wanasema hamna wanaume wa kuwaoa.jamani changamkieni hiyo nafasi msije kuijutia.mia
 
Huwezi kuwa makini kiasi hcho kama vp anza kupanda magari ya mwenge jion kutoka posta utakutana na warembo wenye haraka za maisha.
 
Pole sana maana naona katika wakati mgumu mkuu.Lakini nadhani uwe makini sana na huyo utayempata maana wengi ni matapeli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom