Natafuta mke

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Salam! Mimi ni Mwanaume nina miaka 36. Ninaishi na kufanya kazi hapa Dar es Salaam natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 27, mnene aliye tayari kupima VVU na kufunga ndoa ya kikristo kanisani. Email yangu franktemu123@yahoo.co.uk simu yangu 0759333178. Frank
 
Narudia tena
umri huo umewapitia wangapi?
Na wote hawafai????????
 
Salam! Mimi ni Mwanaume nina miaka 36. Ninaishi na kufanya kazi hapa Dar es Salaam natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 27, mnene aliye tayari kupima VVU na kufunga ndoa ya kikristo kanisani. Email yangu franktemu123@yahoo.co.uk simu yangu 0759333178. Frank

Man, hakuna ujonjwa mbaya kama to suffer from what to do. wewe ndio mwenye shida, unataka utumiwe e-mail au kupigiwa simu. sasa hizo expenses za internet na airtime voucher nani agaramikie? wewe toa offer (kwa kutaja digits ngapi). M-Pesa ipo kila kona. watakukimbilia kama nyumbu za kule serengeti.
 
Salam! Mimi ni Mwanaume nina miaka 36. Ninaishi na kufanya kazi hapa Dar es Salaam natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 27, mnene aliye tayari kupima VVU na kufunga ndoa ya kikristo kanisani. Email yangu franktemu123@yahoo.co.uk simu yangu 0759333178. Frank

Dah,nafsi yangu inanambia kwamba uko serious lakiniiiiiii,...
Mbona kanisani kuna wadada wanaofaa zaidi ya wale utakao wapata mitandaoni kakangu?
pls,muombe Mungu utapata mke mwema huko,au labda hapa hapa ila,...
 
Mnashangaza kweli.Kwani wanawake waliopo hapa JF wanaishi Mars??Hao mnakutana nao huko mitaani baadhi yao ndo hawa hapa..acheni kujudge watu msiowajua.Au mnawaogopa kwasababu wanatumia internet?Wamejiunga JF?Wanamwaga point JF?Kha!Mnaboa!
 
Hebu ngoja nikuulize kwa umri huo uliotaja huna hata girlfriend?? Ina maana humpendi??? mmmmmhhh bwana wewe oa uliyeane......................na sitaki maswali kwanini nimesema hivyo sababu sitajibu
 
Salam! Mimi ni Mwanaume nina miaka 36. Ninaishi na kufanya kazi hapa Dar es Salaam natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 27, mnene aliye tayari kupima VVU na kufunga ndoa ya kikristo kanisani. Email yangu franktemu123@yahoo.co.uk simu yangu 0759333178. Frank

Nipo available. Nami nataka Mchagga kama wewe, ila noti, nyumba, gari na shamba lazima uwe navyo
 
We si juzi tu umetoka kulitangazia jamvi kuwa umechakachuliwa na msukuma na umeapa kutomwacha. Au ndo vile tena hili jukwaa sasa limekuwa kama uwanja wa kiberere.
 
Mnashangaza kweli.Kwani wanawake waliopo hapa JF wanaishi Mars??Hao mnakutana nao huko mitaani baadhi yao ndo hawa hapa..acheni kujudge watu msiowajua.Au mnawaogopa kwasababu wanatumia internet?Wamejiunga JF?Wanamwaga point JF?Kha!Mnaboa!

Hasira za nini?
Wasilianeni faragha basi na hao wanaotafuta wenza. Jaribuni kutoa ushirikiano ladies.
 
Vijana kweli wameamua mwaka huu.
Yaani tutashrehekea ndoa hadi basi.
Ladies mko wapi?
 
Habari wanajanvi,
Mimi naomba nitoe ushauri hasa kwa wadada ambao mnatafuta wachumba kupita JF au blog yoyote muwe makini msikurupuke na matangazo ya aina hii maana kwenye msafara wa mamba na kenge wapo. Wengi wanaojitokeza sio kwamba wanatafuta wake/wachumba ila wanatafuta ngono hivyo muwe makini. Naoma hata kwa wakaka/wadada mnaoweka matangazo yenu ya kutafuta mchumba muwe serious otherwise ondoa tangazo hili kwa faida yako na ya wengine pia.
Aksante
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom