Natafuta Mke Wa Tatu

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUOANA:

SIFA ZAKE:

1. UMRI: Kuanzia miaka 14 mpaka 65

2. ELIMU: Sio Muhimu

3. AFYA: i) Awe Tayari Kupima magonjwa yote ya kuambukiza
ii) Asiwe na maradhi ya kudumu, kama kichaa, pumu, kisukari, blood pressure (kupanda au kushuka)

4. SIFA: i) Awe ana mali zake au kwao ana mali na hatokuwa tegemezi, mimi
ntatimiza wajibu wangu wa nyumba, kula, kuvaa. Zaidi ya hayo ajitegemee.
ii) Awe mzuri
iii) Awe na dini, Muislam, Mkristo au Yahudi, lakini si wajina wa vitendo.

5) Kabila: Yeyote ile

6) Rangi: Yeyote ile

7) Hakuna kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

8) Hakuna kungoja, akipatikana leo, tunapeleka posa kwa wazee, tunaoana immediately.

9) Baada ya ndoa: wageni nyumbani ni wale wa karibu tu, Baba, Mama, Kaka, Dada
Mjomba, Shangazi, Mama mdogo/mkubwa. Hao wote ni halisa sio
wa kufikia au wakupanga. Na wakikaa nyumbani zaidi ya siku tatu,
wanalipia gharama zote (kula, kulala, sabuni, maji, umeme, choo
n.k.)

10) Akubali kuwa mke wa tatu, nna wengine wawili, tunaishi kwa furaha na amani, kila mmoja anakaa kwake.

11) Umri wangu, zaidi ya miaka 50 sijafikia 60.
 
mzanzibar nini mwenzetu maana hawa kuishi nao kazi ipo!!!

Hapana, mimi si Mzanzibari wala Mzanzibara, lakini sichaguwi, dini, rangi wala anakotoka, masharti yangu ni hayo hapo juu.

Nilisahau moja: Mimi ni CCM Damu, mke awe wa chama chochote kile sijali.
 
Jamani sitaki PM mimi sioi kisiri. Weka mambo hapahapa jamvini.
 
inaonesha uwezo wako wa kifedha ni wa kusua sua ndo maana unaweka restrictions nyingi kwa wageni we unataka wake wengi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya shipa tu kama vp usijilazimishe kujamba wakati una tumbo la kuhara.
 
Kaazi kweli kweli. Mmoja ananipa headache. Watatu inakuwaje.. Lazima uwe shababi
 
inaonesha uwezo wako wa kifedha ni wa kusua sua ndo maana unaweka restrictions nyingi kwa wageni we unataka wake wengi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya shipa tu kama vp usijilazimishe kujamba wakati una tumbo la kuhara.

ha ha ha ha! Msemo wako nimeupenda.
 
inaonesha uwezo wako wa kifedha ni wa kusua sua ndo maana unaweka restrictions nyingi kwa wageni we unataka wake wengi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya shipa tu kama vp usijilazimishe kujamba wakati una tumbo la kuhara.

Kumbuka, si kwa ajili ya uwezo wa kifedha, nadhani ni principal zangu na mafundisho ya kidini, mgeni ni siku tatu ya nne anakuwa mwenyeji.

Of course, kama wana shida genuine ntawasaidia, lakini kuwasaidia si lazima wajazane kwangu.
 
Mradi sheria ya Tanzania inaruhusu? au hujuwi hilo?

Sheria zetu jamani,mtoto wa miaka kumi na mi nne ruksa kuolewa??naona Zomba ndo naye ana -take advantage??Kila la kheri mkuu.:disapointed:
 
Sheria zuru jamani,mtoto wa miaka kumi na mi nne ruksa kuolewa??naona Zomba ndo naye ana -take advantage??Kila la kheri mkuu.:disapointed:

Si bora mie nataka kuoa, juzi hukuona kwenye magazeti? wamekifanyia vibaya kitoto cha miaka tisa, MIMBA! As long as ameshakuwa (balehe), No Problems. Ni wengi sana hapa Tanzania huwaharibu tu na kuwatelekeza, mie aka, nataka kufanya halali na sheria za nchi zinaruhusu, unless ziwe zimebadilishwa, hapo sita-thubutu kuvunja sheria za dola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom